Blood group O hawapati HIV

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Je hili ni kweli jameni? Nimesikia mtu akitamba kuwa hawezi pata virus due to his blood group.
 
Ngoja tumsubiri dokta maana naona nawewe unahic tu subiri ukweli wako zen ujue upo upande gani??
 
Uongo mkubwa,nina mtu wangu wa karibu mno ni hilo group tajwa na ana HIV
 
Hii itakua 'sayanzi' na sio 'sayansi'. Mbona wengi tu wa hilo group wanakufa kwa ngoma!
 
Thats why nimeuliza cuz niliposikia sikusadiki. Ngoja dokta akuje atupe majibu kamili.
 
40% of the word population is O na wanapata kama wengine. ni uongo mtupu!
 
Je hili ni kweli jameni? Nimesikia mtu akitamba kuwa hawezi pata virus due to his blood group.

UPUNGUFU WA KINGA MWILINI (UKIMWI), ni ugonjwa (upungufu wa maji mwilini) ambao kila mtu anaweza kuupata, yaani ukiuguwa mafua kwa mfano ni kusema kinga yako ilipunguwa kiasi cha virusi vya mafua vimeweza kuitikisa kinga yako!, la sivyo usingeuguwa mafua kwa kuwa kinga unayo na haikupunguwa.

Kupunguwa na kupanda kwa kinga ya mwili ni jambo linalotokea mwilini karibu kila siku kutegemea na mambo mengi kama vile chakula, fiziolojia na kemia ya mwili. Kinga ya mwili si kitu kinachotengenezwa siku moja!, la hasha, kinga ya mwili inapaswa kuanza kutengenezwa tangu binadamu akiwa tumboni mwa mama na mtoto akishazaliwa anapaswa kuanza kutengenezewa kinga yake na aelekezwe namna ya kufanya hivyo atakapokuwa mkubwa.

Hakuna kitu kinaitwa kirusi au hiv ambacho husababisha UKIMWI au AIDS!, UKIMWI au AIDS ni ugonjwa unaoanzia ndani ya mtu mwenyewe na huishia kwa mtu mwenyewe huyo huyo, yaani UKIMWI si ugonjwa wa kuambikizana, mtu mmoja hawezi kumpa UKIMWI mtu mwingine!.

kwa hiyo haijalishi upo group gani la damu, UKIMWI utaupata tu.
watercure2.org
watercure.com
healsa.co.za
harmonikireland.com

virusmyth.com/aids/
maajabuyamaji2.artisteer.net
 
Duh! thesis yako imekaa tenge kweli - kwamba ukimwi unaanzia kwa mtu na kuishia kwake mwenyewe halafu unaongelea kuambukiza. Hii kiboko!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom