Blogu ya MarafikiwaChadema Iko hewani

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
211
Karibuni kwenye blogu ya marafiki wa chadema Gonga Marafiki wa chadema - Friends of Chadema wale wote wenye mapenzi na chama hichi wanaopenda kuchangia maendeleo yake , kutupa habari picha na vitu vingine vingi karibuni sana

GONGA KWENYE FOLLOW UTAWEZA KUTOKEA HABARI NA MAMBO MBALIMBALI YA CHADEMA KWENYE BARUA PEPE YAKO
 
Asante mkuu kwa kui publish hapa bila shaka tutaiangalia wengi ambao hatukujua uwepo wake. Saidia kuweka na membership registration ya on line.
 
Safi sana na jitahidini kuirembesha na kuipanga vizuri na kukaribisha michango ya picha na matukio kutoka nchi nzima.
 
nasisi wanaccm tunakaribishwa kuitembelea blogu hiyo? si kwa misingi uadui bali katika kupashana habari za maendeleo yanayoigusa jamii yetu.
 
sasa we chama toka lini ccm mkawa marafiki wa chadema? Hiyo ni blog ya friends of chadema
 
Asante sana ila kuna baadhi ya nchi ambazo kuna matatizo ya kuona .... dot spotsblog. Nimeshindwa kuingia kwenye hiyo website. Tafuta namna ya kutusaidia sisi pia. Kuna wanachama wengi wa Chadema huku..... ukitaka tunaweza kufungua tawi!!!!
Ila cha msingi kwa sasa ni namna ya kukichangia chama ili tushike dola mwaka 2015.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom