Bloggers tujadiliane kuhusu kuzimwa kwa matangazo

hatar sana... sema wadau kama kuna extra way ya kusetup kwenye adsterra ili mpunga uwe mrefuu zaidi tupeanee,
 
Habarini wana jamii.
Baada ya kupata misukosuko kwenye kazi nikawa sikujipanga vizuri kimtaji nikageukia kwenye Carrier yangu ya zamani ya ublogger.
Nikanunua site na account yake ya adsense,nikaanza kupiga kazi kwa kushare south Africa,nikiwa nimefika USD 29,Nikaverify account kwa kutumia kitambulisho changu cha taifa,wakaissue PIN kwenye address nliyowatajia,baada ya hapo nikafanya kazi kidogo zikaingia USD 4,ndipo matangazo yakapotea kwa hiyo ikawa inaingia traffic ya bure na impression za bure.
Solution:nikajaribu kuwasiliana na mablogger wachache ambao nafahamiana nao nao wakaniambia matangazo yao yamefungwa.
JE TATIZO NI NINI?AMBAYE ANAJUA KIDOGO KUHUSU HILI SUALA NAOMBA MSAADA WAKO.
NOTE:
Hakuna notification yoyote kwenye email au adsense account inayoonyesha sababu za wao kufunga matangazo kwenye Site yangu.
Ntawatag blogger wachache naowafahamu huku jamii forum #mchichapori##Mazagazaga#
Shida ya blogger. Mnapenda. Sana janja janja na shortcut

Hamsomi privacy & policy za google/fb/adstera mnafanya kazi kimazoea mnasahau kua mna fanya kazi na wazungu..
 
Mkuu kama unamagroup ya South naomba nisaidie
Kila siku tunawaambia kaeni mjifunze SEO hayo magroup ndio yanasababisha mfungiwe account zenu na bado mpaka mkae sawa mtuache tuliochagua blogging kama professional.
Ukitaka ufabikiwe kwenye blog jifunze SEO utapata viewers wengi sana tena ORGANIC yaan ambao hulipii ata cent but mkumbuke kuwa kuna black hat SEO Experts waepuke hawa watafanya site yako iwe disvalued na search engine.
 
Mkuu ii ya BLACK HAT SEO ndo nn naoinag tu uku na uko
Kwenye SEO kuna Black hat, grey hat na white hat.
Black hat anatumia ujanja ujanja kama mdau alivyosema hapo juu yaan anajarbu kuidanganya search engine ili tu aweze kuwa ranked top but mara nying hawa black hat consultants unawakuta sana kwenye zle site znazokuhakikishia kuwa itakupa views let say 10k within 24hrs ni kweli utaona views but baada ya muda mfup blog/website yako search engine wataishusha kabisa.
Grey ni kama funguo malaya yaan mnafk anakula huku na huku.
White hat ndio njia sahihi yaan mtu anaongeza trafic kwa kutumia legitimate ways na ukifankiwa hapa kama una blog or youtube channel utafurahia sana matunda ya online coz ukipost tu kitu watu wanakuja wenyewe, wew ni kupga hela tu na kujifunza zaid coz digital markting strategies changes ukilemaa utakuwa outdated.
Utakuwa kama michuzi alivyopgwa gap na millard coz aliridhka wakaja wenye njaa wamemwacha na .blogspot yake.
 
Back
Top Bottom