Bloggers na wamiliki wa Website njooni hapa kuna issue sensitive sana

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Habarini bloggers na website owners. Najua wengiwetu tunategemea matangazo ya biashara kuendesha tovuti zetu. Lengo la kuwaita hapa ni kujadiliana kuhusiana na kuanzisha kampeni maalumu ya kuwashawishi Adsense kukubali kuweka matangazo yao kwenye tovuti zinazojiendesha kwa lugha ya Kiswahili...

Kwasasa Lugha ya kiswahili haipo katika orodha ya lugha zinazopatiwa huduma hiyo (japo kuna namna unawezafanya yakaonekana lakini si rasmi). Imefika wakati tuwashawishi google kuitambua lugha yetu na kuiweka ktk orodha ya lugha zinazo support adsense.

Pia tuwashawishi advertisers wanaotangaza kwa kiswahili kuomba matangazo yao kuonekana kwenye tovuti za kiswahili pia maana huko ndipo walipo wateja walio watarget.

Tufanye nini?

Tunaweza kutengeneza banners na kuziweka kwenye tovuti zetu nadhani watapata salam tuu... Karibuni kwa maboresho....

JamiiForums tusaidieni kufanikisha hili. Ahsanteni.
 
Uploading Swahili banners won't help, we recently had a meeting with Google in Kenya one of the agenda we pushed forward was this. Feedback was they will look into it. So please be patient.
 
Uploading Swahili banners won't help, we recently had a meeting with Google in Kenya one of the agenda we pushed forward was this. Feedback was they will look into it. So please be patient.
Thank you
 
Back
Top Bottom