Bloggers na freelancers, mnawezaje kufanya kazi zenu full time kwenye nyumba za kupanga?

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
826
912
Wakuu ni hivi,

Mimi Ni kijana ambaye bado natafuta hivyo kutokana na mapambano ya huku na kule.

Sasa sahizi nimeamua nikomae na kazi za online lengo ni kwamba iwe kazi ambayo itakua inanipa backup nitakapoanza biashara nyingine hivi wakuu nitawezaje kufanya hichi kitu full time katika chumba cha kupanga na hofia kuleta tafrani maana jamii bado ina ugeni na mambo haya.
 
Back
Top Bottom