Bloggers, msaada please

Apr 27, 2019
22
8
Habari za muda huu wakuu!
Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please

Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata mfumo wa post hizo umebadilika, badala ya maneno kuanzia kushoto kwenda kulia yanaanzi kulia kwenda kushoto kama kiarabu.

IMG_20210311_135220_412.JPG
Screenshot_20210311-134339.png
 
Habari za muda huu wakuu!
Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please

Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata mfumo wa post hizo umebadilika, badala ya maneno kuanzia kushoto kwenda kulia yanaanzi kulia kwenda kushoto kama kiarabu.
Wordpress au blogspot?
 
Nimewahi kutana na tatizo Kama Hilo ila hapo ishu Ni hiyo theme uloweka naijua hua wanaweka content kwa mfumo wa kiarabu ukibadilisha theme utaona inarud sawa
 
Mkuu hivi njnaweza kupata laptop yenye uwezo wa graphic design na video editing kwa chini ya 700,000 ??

Nafaka
Dah umenipa ugumu kidogo kwa bajeti hiyo, kiukweli utapata ila utatakiwa ku upgrade RAM kama itakuwa chini ya 8gb size, ili uwe na speed kwenye design & editing.

Atleast Tafuta hizi model, kama utaweza pata refublished kwa bei hiyo ila sizani kama zitakuwa chini ya laki 7 labda bahatisha

HP ProBook 450 g7

HP ProBook 655b

HP Elitebook x360

May be hizi hapa utapata Refublished kwa bei hiyo ama chini, ila hakikisha zina RAM ya 8GB na kuendelea, core i5 gen ya 4 na kuendelea.

HP Elitebook 820 g3 au 840 g1.

HP ProBook 450 g2

HP ProBook 450 g5

Kama utatumia w10 os huwa inakula RAM mpaka 3 GB hivi, hapo kama RAM ni 8gb inabaki space kubwa.

CASE STUDY:

Mkuu nimewahi fanya video editing maeneo flani nilikuwa natumia hp notebook 840 g1 na nilikuwa natumia premiere Pro cc17 na after effect cc17, kwenye kurender/encoding media encoder ilichukua muda japokuwa kuna kuna ku optimize bit-rate, ila ilitumia masaa mawili hadi matatu, ulefu wa video ninayo edit ni 30min ukijoin vipande, text, logo ama lower3rd.

RAM ilikuwa 4gb, mkuu but after upgrading to 8gb ilikuwa very smooth.

Asikudanganye mtu hatakama utatumia wondershare filmora, movavi, power director, davinci resolve bado unahitaji mfumo kaka.

Render Render Render Render Render Render Render Render Render Render inakela.

Wadau wengine watakuja kukupa ushauuri kulingana na ujuzi wao, anyway kuna gaming pc ziko vizuri pia. Kama utataka desktop itakua poa kwa bajeti hiyo.
 
Dah umenipa ugumu kidogo kwa bajeti hiyo, kiukweli utapata ila utatakiwa ku upgrade RAM kama itakuwa chini ya 8gb size, ili uwe na speed kwenye design & editing...
Kuongezea mkuu gaming pc haziendani na video editing, video editing inataka core nyingi hata kama nguvu sio kubwa Sababu video editors zinatumika core zote, games zinataka core1 ama chache zenye nguvu.

Pia kwa render ukitumia software za quicksync kama cyber link video editor inamaliza faster tu kwa sacrifice ya quality. Kwa project za kawaida haina Neno.
 
Habari za muda huu wakuu!
Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please

Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata mfumo wa post hizo umebadilika, badala ya maneno kuanzia kushoto kwenda kulia yanaanzi kulia kwenda kushoto kama kiarabu.

Mkuu haya maandishi hayasomeki kiarabu, ni kawaida tu, sema alignment ipo ovyo

Mfano mimi hii post yangu nime align kama post yako.

Wakati unaandika juu Angalia alignment kuna kuwa na right, left, center, justify etc, weka unayoona inakufaa.

Pia linaweza kuwa ni tatizo la template kwenye css imekuwa specified hivyo.

Code ya design hii unaweza kui add
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom