Bloggers and Dvelopers in Networks naomba mnifahamishe mambo haya

benjavibe

Member
Aug 13, 2019
11
5
Naomba kufahamu mambo haya wakuu.

1. Jinsi ya kuifanya post yako katika blog/website ionekane TOP kwenye Google pindi utakapo post?

2. Jinsi ya kupata pageViews wakutosha yaani traffics katika Blog.

3. Jinsi ya kupata PESA kupitia Blog / na mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram , Twittet , Tiktok, Whatsapp

Naomba kwa Xperts wanisaidie ujuzi ni kusaidiana
 
Kuwa top kwa page yako inategemea yafuatayo:

Muda ambao post iliwekwa.
Usomwaji wa post iliyooweka(views) viewer wachache post na blog hazirank.
Utafutwaji wa post na blog via search engine.

Yatakayo kusaidia.
Nunua domain.

Post original content hapa huwa tunamaanisha kuwa maandiko yako yawe na muundo tofauti na ya wengine mfano, bbc Swahili wakipost habari wewe usikopi na kupaste kama ilivyo, jiongeze ufikishe ujumbe huo kwa namna tofauti.

Tumia lugha inayotumika zaidi kulingana na maudhui yako mfano huwezi kuwa na blog inayozungumzia makala za historia kwa kiswahili ukapata wasomaji badala ya iweke iwe ya kiingereza maana idadi ya wasiopenda kusoma ni waswahili swahili.

Blog za kiswahili nyingi zinabebwa na media na umaarufu wa wenye blog ndo unaona ziko top, mfano desh desh na desh desh. hizi bila umaarufu wao kibiashara zisingekuwa hapo.

Kuhusu kupata traffic inategemea na uzuri wa content zako na wakati mwingine unaweza share kwa magroup na page kadhaa lakini traffic upungua kwa sababu zifuatazo.

Unachelewa kupost yaani ukipost leo ni mpaka wiki tatu mbili au moja mbele ndo unapost tena hii haivutii wasomaji so traffic zinafell.

Unaandika kizembe(post haina intro then maudhui kisha outro).

Kuhusu kupata pesa.
Pesa uja automatically ukitimiza niliyoonyeshwa hapo juu na kama hauja oa unaweza ona kabisa.

Sasa ukishindwa hapo tafuta kazi nyingine huu ndo ukweli na hakuna control + b(short cut)
 
Jamaa umeongea kila kitu
 
Back
Top Bottom