Blog ya michuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blog ya michuzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Oct 28, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Baada ya kujikita wazi kwenye uwanja wa siasa kuifanya blog yake kuwa propaganda mashine CCM, blog ya michuzi ni kama imekufa. naona hata vijana mhiri waliokuwa wakiifa supoti kwa kumwaga atkos za kuvutia. imebakia mali ya CCM. Comments ni 0 kila mara. nyie mnalionaje waungwana?
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndio iko hivyo atafanyaje mchumia tumbo
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mimi kila nikituma maoni yangu anayaweka kapuni. Jamaa ni CCM damu damu.
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  ilikuwa ni homepage yangu kipindi flani toka aanze us***e wake nina miezi miwili sijawahi kuimbuka hataaaa !
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  na bado mwaka huu mtalia hadi na mawe, kila siku mara riz 1, mara salma na jumatano mtakimbia jamvi.
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe ndo utakimbia jamvi. Utakuja na avatar ya ushungi maana kihereni weshakuvika bado kishaufu!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Burn inaonekana wewe ni zao wa Oysterbay... Bwa ha ha haaaaa...
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  mi mchaga bana, mjukuu wa mzee mtei na mpwa wa ndesamburo ila sipendi uongo wa mchana
   
Loading...