Blog designer.... SOMA

elnathan

Member
Apr 15, 2011
41
2
wanandugu,
nahitaji mtu wa kunitengenezea blog maana nataka kuanzisha biashara ndogo ya upigaji wa picha hasa za passport...
nataka niwe naweka picha mbalimbali na some info on this blog.
please send your quote to nat867@gmail.com
 
Watu wengine wavivu sana wa kusoma unaa cha kumalizia mpaka mwisho na wewe unatoa option yako.
Tuma quot upate kazi.
 
mimi natengeneza... Bei ni kulingana na blog yenyewe unavyotaka iwe..

Mazungumzo yapo!

Ni PM Au weka namba zako nikupigie
 
Back
Top Bottom