Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

Achana na ndoto za alinacha wewe...

Unategemea RENEC ifikie thamani ya dollar elfu moja kimchezomchezo.

BNB yenyewe pamoja na kuwa strong mpaka leo bado inacheza kwenye $300.
Wakati BNB inazinduliwa ilikuwa ngapi? Sasa hivi iko ngapi? Kuna aliyejua kwa uhakika itafika ilipo? Je baada ya miaka kumi itakuwa wapi? Kwa upande wa RENEC ni suala la muda tu. Inaweza kuwa baada ya miaka michache au baada ya miaka mingi. All in all kwa sasa unazipata bure ukiwa na bundle la kufungulia app tu.
 
Mimi pesa yangu natunza hapa kitambo Sana, habari za kuweka kiasi Cha pesa bank na kuanza kuulizwa maswali uchwara sitaki.
Screenshot_20220507-181017.png
 
Back
Top Bottom