Blinken asema kulipuka kwa mabomba ya Nord Stream ni faida kubwa sana Kwa Marekani

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
4,169
9,498
Blinken asema kulipuka kwa mabomba ya gas ya Nord Stream ni nafasi nzuri Sana Kwa Marekani kwani itasaidia (Ulaya) kuondoa utegemezi wa gesi ya Urusi hivyo kudhibiti karata ya Putin kutumia gesi kama silaha.

Blinken pia aliongeza kwamba Kwasasa Marekani ndiye anayeongoza kuuza gesi Ulaya,ikumbukwe Marekani ilikua inapinga ujenzi wa bomba la Nord Stream 2 ambalo lingeifanya Ulaya kutegemea gesi ya Urusi kwa zaidi ya asilimia 90,hivyo ingeondoa kwa kiasi kikubwa gesi ya Marekani ndani ya Ulaya.

Nord Stream explosions are a ‘tremendous opportunity’ – US
Washington can now step in as Europe’s top supplier of LNG, the Biden administration explained.

The US views the sabotage of the Nord Stream gas pipelines as a “tremendous opportunity” to wean EU states off Russian energy, Secretary of State Antony Blinken told reporters on Friday.

With winter approaching, Blinken said that the US wants the bloc to use less fuel.

Washington has for years been trying to convince EU leaders to swap Russian gas for its LNG.

The severity of the damage to the undersea conduits now means that the bloc is “indefinitely deprived” of Russian gas via this route, Russian energy operator Gazprom stated on Friday.

Speaking to reporters in Washington, Blinken boasted that the US is now “the leading supplier of [liquefied natural gas] to Europe.” In addition to shipping its own fuel to Europe, Blinken said that the US is working with European leaders to find ways to “decrease demand” and “speed up the transition to renewables."

“It’s a tremendous opportunity to once and for all remove the dependence on Russian energy and thus to take away from [Russian President] Vladimir Putin the weaponization of energy as a means of advancing his imperial designs,” Blinken declared.

The US likely stands to gain the most from the destruction of the Nord Stream 1 and Nord Stream 2 gas pipelines, which were damaged by a series of explosions off the Danish island of Bornholm earlier this week. Washington has for years been trying to convince European leaders to swap Russian gas for its LNG, and the severity of the damage to the undersea conduits now means that Europe is “indefinitely deprived” of Russian gas via this route, Russian energy operator Gazprom stated on Friday.

RT
 
China, N.Korea, Indi n.k hawawezi kununua Gas kwa kiwango kikubwa kama Ulaya, kulikosa soko la Gas ni pigo kubwa kwa Russia.
Sio lazima wauze kwenye soko la Ulaya, wanaweza kuja kuiiza hata kwa watu wa Buza, Temeke au Tandika, huko kote kuna uhitaji mkubwa wa gesi.
 
Sio lazima wauze kwenye soko la Ulaya, wanaweza kuja kuiiza hata kwa watu wa Buza, Temeke au Tandika, huko kote kuna uhitaji mkubwa wa gesi.
maneno ya kujifariji hayo!!yaani hii vita hata ikiisha leo ,Urusi atakuwa amepata hasara kubwa mno,na lazima ajipange upya kwani biashara yake kubwa ya gesu kwa nchi za ulaya inaenda kufa kabisa,kwani karibu nchi zote za ulaya ziko kwebye mchakato wa kutafuta gesi kutoka nchi nyingine,mfano kuna bomba litajengwa toka nigeria hadi algeria la km 4000,liingie hadi spain!!sasa urusi hiyo gesi yake atakuwa ana muuzia nani,wakati wateja wakubwa ni ulaya?.
 
Back
Top Bottom