Bling Bling!

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Chaguo la Mungu.....
attachment.php
 
Attachments

  • bl.bmp
    750.1 KB · Views: 354
Chaguo la Mungu.....
attachment.php

....Dah, yule mkulu kule nyuma (mwenye tshirt nyekundu) kanona acha tu, halafu ni mwanachama mwenzetu hapa JF vile vile :D!...

Bora hiyo Bling kuliko ingekuwa 'hirizi' inachungulia, Noma!!!
 
hana hata aibu kumshika huyu mtoto ambaye inawezekana hajui atakula nini kwa sera mbaya za uongozi wake.
 
Acheni kumuandama hata kwa hili. Kwanza mie a kuwa ninaishi hapa Sikonge, Bling bling yangu ni kali kuizidi hiyo. Na mimi ni NTU ya kawaida kabisa. Hata Maraper wa tanzania wanakula Bling Bling kali tu tena nyingine hadi zinazunguka "wanasemaje huko USA??"
Yaani hata kama asingelikuwa FISADI mnafikiri hizo angelikuwa nazo ngapi? Mbona hamsemi neno kwa mke wake hapo pembeni? Hebu oneni kavaa ngapi mkononi, na acha shingoni aliponona uzuri. Kwa hasira ngoja kesho nikanunue nyingine maana na nyinyi Watanzania mnazidi. Mtacomment hadi chupi aliyovaa sasa.......
 
mbona Mkapa alivaa cheni na alionekana wa kawaida tu ... asivaee roho inachopenda kwa kumuogopa nani ....isitoshe anayo kabla hata kuwa Rais
 
Dini yake inamruhusu? Watu wanapozungumzia MATENDO ya mtu, ndo haya sasa.
Kwa kuwa yeye na 50 Cent wote ni wasanii, this should be acceptable people!

.
 
Dini yake inamruhusu? Watu wanapozungumzia MATENDO ya mtu, ndo haya sasa.
Kwa kuwa yeye na 50 Cent wote ni wasanii, this should be acceptable people!

.
Dini haimruhusu hata kidogo tatizo anapenda mambo ya kujichanganya that's why ameyatosa...It's a matter of time akikua ataacha!!!!
 
Muungwana anaitangaza dhahabu safi ya Tanzania nyie mnamkalia kooni.Bush hana kama hiyo yeye yake inaishia carat 14 tu!
 
jamani mmeona na huo mkono wa alie kaa nae pembeni.. nao ni bling tupu lazima ni salma huyo,, hii niaibu mavazi yao ni garama lkn huyo mtt hajui akiumwa aende wapi,

kwa kifupi hana uhakika na maisha yake ya kesho
 
Muungwana anaitangaza dhahabu safi ya Tanzania nyie mnamkalia kooni.Bush hana kama hiyo yeye yake inaishia carat 14 tu!
Hiyo dhahabu anaitangaza sio kwa manufaaa ya watanzania....
 
jamani mmeona na huo mkono wa alie kaa nae pembeni.. nao ni bling tupu lazima ni salma huyo,, hii niaibu mavazi yao ni garama lkn huyo mtt hajui akiumwa aende wapi,

kwa kifupi hana uhakika na maisha yake ya kesho
Unafahamu ule utawala wa sulatni wa Brunei?...ana mdogo wake anaitwa prince jefri kama sijakosea jamaa ni mkwasi wa hali ya juu....
Soshangai hata kama mama wa kwanza nae akiwa hivyo....
 
hata mimi nimeiona hiyo bring bring ya bwana mkubwa inaonekana jamaa enzi za ujana wake alikuwa ni noma na umri bring za nini kweli
nimekubali jamaa ni tozi kinachofuata ni kuimba bongo fleva na kina ally kiba mbdogy nk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom