Chaguo la Mungu.....
Dini haimruhusu hata kidogo tatizo anapenda mambo ya kujichanganya that's why ameyatosa...It's a matter of time akikua ataacha!!!!Dini yake inamruhusu? Watu wanapozungumzia MATENDO ya mtu, ndo haya sasa.
Kwa kuwa yeye na 50 Cent wote ni wasanii, this should be acceptable people!
.
Unafahamu ule utawala wa sulatni wa Brunei?...ana mdogo wake anaitwa prince jefri kama sijakosea jamaa ni mkwasi wa hali ya juu....jamani mmeona na huo mkono wa alie kaa nae pembeni.. nao ni bling tupu lazima ni salma huyo,, hii niaibu mavazi yao ni garama lkn huyo mtt hajui akiumwa aende wapi,
kwa kifupi hana uhakika na maisha yake ya kesho