Blind Date inawezekana kwa hapa Tanzania?

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Wakuu nauliza if possible kupata bint ukaendanae date bila ties bongo. Kwamba tunaenda mahala tunazurula kisha tunarudi bila kujuana kabla or baada ya date. In thailand na china inawezekana na nimewahi kujaribu.

regards
 
Bongo ni mwendo wa kukomoana, wewe ukihakikisha unaniacha na frastruation za madeni mimi nitahakikisha expansion joint yako inawaka moto na imepata drainage, lazma ukatafte alloevera sijui unywe upake ili ulainishe joint, bila kusahau bamia, ngogwe na mabiringanya. Bila kusahau mazoez ya viungo, sijui msamba mara kichura. Eeee hio ndo vision date.
 
Back
Top Bottom