Blessed Hill pr/nasari school

pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
650
414
Kuwen na huruma, wazazi wanatoa hela zao wanazotafuta kwa shida, nyie mnawakalisha watoto 4 kwenye dawati moja, sasa kuna tofauti gani na kayumba, watoto 7o /80 kwa darasa moja, sasa mwalimu ataweza kumpitia mtoto mmoja mmoja, kiwango chenu ndio maana kinashuka siku hadi siku,. Achen tamaaa, itawaulia shule,
 
Back
Top Bottom