Bless weekend yako na hizi movies..

Madini hakuna, alafu mbona nikishusha kwa simu sizioni katika file? Alafu subtitle nazo sizioni

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Mzee baba leo nimetoka shusha mizigo mbona?

Kama umezipakua tazama kwenye files >> Telegram files >> videos/documents utaziona.

Kuhusu substitles si kila movie inayo. Kuna ambazo subs imo ndani ya movie (muxed) na kuna ambazo zinatumwa pamoja na subs zake so utaziweka mwenyewe kwa kutumia player yako. I recommend VLC

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom