Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 420
- 152
Habari zenu wakuu, ni wiki ya tatu sasa tangu mke wangu aweke vijiti vya uzazi wa mpango, lakini kuanzia tarehe 01/01/2019 amekuwa kwenye mzunguko wa damu kwa mwezi(hedhi) hadi hivi leo na bado zinaendelea kutoka. Hali hii imekuwa ikimsumbua hata kukosa nguvu wakati mwingine kwa kuwa damu zinazotoka ni nyingi.
1. Je, kuna tatizo au kuna kitu hakipo sawa kwenye matumizi ya njia hii ?.
2. Iwapo ni tatizo, nini kifanyike kumsaidia ?.
1. Je, kuna tatizo au kuna kitu hakipo sawa kwenye matumizi ya njia hii ?.
2. Iwapo ni tatizo, nini kifanyike kumsaidia ?.