Blaza Ontario popote pale ulipo, Mungu akubariki aisee!

1. Usimwamini mtu bali mpende,

2. Usimuogope mtu bali mheshimu.

Forex sijawahi kuifanya na sitokuja kuifanya nafanya mambo mengine zaidi.
( be different )
jipelekeni mkamalizwe hadi vicent vya mwisho ndo mtajua kuwa nyota ni angani au nchi kavu

Hatari sana, mbwembwe zote na mabanda feki kumbe mlikuwa mnawachora tu wanavyoingizwa mkenge, hakuna kazi ngumu sa hv kama kumwamini mtu, mda huwa ni mwamuzi mzur sana......
 
mkuu habari yako kwema huko tafadhali naomba mishike mkono nami nijue unacho kifaham kuhusu forex.
 
kekundu........kekundu,,keekundu

kekundu.......kekundu,,keekundu

oooo wajinga ndio waliwao..wajinga ndio waliwao ooo wajinga ndio waliwao mama

mtu mmoja alilipwa malipo ya uzeeni...alifurahi sana

itaendelea.......
 
...😅😃 ama kweli elimu yetu ni ugonjwa mkubwa sana..

Nina mpango Master yangu nkachukulie nje,nikaisafishe kichwa vizuri.
 
Kwa wale wapenzi wa Crude Oil , ni mwendo wa ku buy tuu. hii ndio faida ya ku trade bidhaa zinazotabirika uelekeo wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom