ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 671
alaaa sawaa sawaa
alaaa sawaa sawaa
Hii haitengenezeki kwa simple Excel sheets?
Hahaha kwel kabisa since 2017 had leo 2019 hope ni bilionea sasaUtakua bilionea Sasa bila Shaka
Hahaha kwel kabisa since 2017 had leo 2019 hope ni bilionea sasa
1. Usimwamini mtu bali mpende,
2. Usimuogope mtu bali mheshimu.
Forex sijawahi kuifanya na sitokuja kuifanya nafanya mambo mengine zaidi.
( be different )
jipelekeni mkamalizwe hadi vicent vya mwisho ndo mtajua kuwa nyota ni angani au nchi kavu
Kwa mabanda aliyopiga TISS wala wasingemuacha, muwe mnachanganya na za kwenuJamaa kapiga mabanda noma
Kama kawa tupo tunafatilia malumbano...hapa tunataka bifu lingine liibuke tuongeze bando hahaaaaaaisee, bado hii mada ina trend tu?
kiulaini tuu,Hii haitengenezeki kwa simple Excel sheets?
TISS gani, ya kina Ole Sabaya, Ramadhani Ighondu na yule aliemtolea Nape bastola ?Kwa mabanda aliyopiga TISS wala wasingemuacha, muwe mnachanganya na za kwenu
We unawajua hao tu c ndiyo.TISS gani, ya kina Ole Sabaya, Ramadhani Ighondu na yule aliemtolea Nape bastola ?
Get to your senses nigga.
Hao jamaa nimefanya nao kazi, wengi ni wa hivyo hivyo tu.We unawajua hao tu c ndiyo.