theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,638
Jamaa kwa shule ameinyonga kwelikweli....Bob umenipigia GPA safii yaani nimekukubali kinoma japo hiyo mambo ya Forex naonaga kama ni kuchanganyiana madesa
Jamaa kwa shule ameinyonga kwelikweli....Bob umenipigia GPA safii yaani nimekukubali kinoma japo hiyo mambo ya Forex naonaga kama ni kuchanganyiana madesa
Uhali gani Engineer?Muongozo upi boss... Soma kwanza, then tafuta nafasi hudhuria Training.
Ukishindwa kwenda Training basi tafuta hata Mentor tu...
Jichange mtaji, Fanya demo, ukishakua confident enough, ingia rasmi.
Nakushauri uanze na mtaji mdogo kwanza, ili upate experience.
Acha awapige hao mafal .....tu mkuuOntario si ndo kasepa na mshiko
Mkuu mbona unatafuta commission kwa nguvu hivi embu chill kidogo Basi matangazo yamezidi...miluzi mingi humpoteza mbwa wacha watu waamue wenyeweHellow wakuu!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,
Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,
Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
Nyie ndo mnachafua forex badala mtafute pesa kwa kutrade mnasambaza malink hovyo mpate pesaHellow wakuu!

.I'll laugh last
Nimekupenda una maakili sio ya nchi hii. Be blessedChalii yangu sikia nikuchane....
We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma??
We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi...
Boy unajua mimi ni katika wale vijana tuliobahatika kumaliza ma vyuo tena kwa ma GPA makali tukiwa na theory kuwa kama hakuna wa kukushika mkono kwenye industry basi "only GPA will back up you kwenye ajira"
Huu hapa ushahidi, hatuongei Fyoko Fyoko chalii yangu:
View attachment 600365
View attachment 600367
Achana na hayo ma karatasi hapo juu... Elimu pesa, GPA mbwembwe tu.
Boy, unajua mie ni Engineer?? Achana na hawa ma Graduate Engineer, mie ni Proffesional Engineer kabisa nimesajiliwa na ERB na Reg No yangu ni PE17X2 (hapo kwenye X nimeficha kwa usalama wangu).
Sasa Chalii yangu nadhani mpaka hapa hujaelewa lengo langu nini au sio??
Haina kwere... Ngoja nimalizie verse yangu ya mwisho then Chorus utamalizia mwenyewe:
Boy, pamoja na Uinjinia wangu huu, ma GPA makali, kusoma ma spesho school, kutoka na ma Division One ya Point tatu secondary (ngoja nikuoneshe na hii nilikua nimesahau Boy)
View attachment 600370
Umesikia chalii pamoja na hizo mbwembwe zote hapo juu, mshahara naopokea ulinifanya niwe moja kati ya Machaliii waliohisi kukata tamaa ya maisha duniani, kuichukia elimu, kuona kama kwenda shule nilipoteza muda wangu bure....
Mshahara unapata unawaza nitajenga lini, gari, sijui nioe mwaka huu sijui mwakani...
Chalii ulipokuja na idea yako ya [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG] ulitufungua mimacho yetu wengi sana...
Achana na kina Complex, Bavaria na Al-Watan waliokua tayari wanajua "Samthingi abauti Nathingi". Mie nilkua mweupe peeee....
Unajua hakuna siku nilochukia kama siku unamjibu boya Mberoya kuwa:
"Mshahara wako wa Mwezi mzima mie naupata ndani ya saa moja"
Achana na hiyo, kuna siku ukasema:
"Nikaingiza mshahara wa manager wa Bank, nikazima Laptop nikalala"
*****.... Chaliii namalizia verse yangu (usisahau kuimba Chorus):
Baada ya kutinga pale Mjengoni Jangid Plaza (session ya kwanza Group 2 nilikua napenda kukaa kiti cha mbele kabisa) last week nimeingiza mshahara wangu wa mwezi mzima ndani ya Week...
Ndio naanza chalii yangu, napambana nifikie point ya Kuingiza Salary yangu ndani ya siku tatu.
Japo Sina mpango wa kuacha kazi yangu sababu ndio Profession yangu (nimeisomea miaka 17 *****)
Ngoja nisave save ki salary changu niongeze kwenye Capital yangu boss...
View attachment 600380
Halafu yule Secretary wako yuko poa sana... Anapiga kazi fresh kabisa...
Nikifikia lengo langu la kuingiza Salary ndani ya siku tatu, nitakua nakurushia 10% umpe kila mwezi...
ONTARIO eeeeeh... Machalii wa Kijenge Juu wanakwambia we ni Nyoooko...
Mungu akubariki, Mungu ibariki TMT.
[HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
Hizi bonus ni kupiteza mda tuKwa wale wenzangu n mm tuckuwa n mitaji ya kuanza kutrade plz pm me kuna bonus free kabisa hauhitaj kudeposit ili utoe faida yako...ukipata faida ww unatoa tu n kuanza kutumia kwa mambo yako...bonus hii itakusaidia kuicheck strategy yako kma ipo poa huku unatengeneza pesa na pia itakusaidia kutengeneza confidence kwenye soko...ukipata mtonyo unasonga nao mbele zaid