Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,920
- 2,186
Hahaaa
hahaaa hahaa nimecheka kwa sauti sana ujue mkuu....njoo tafadhali "" PalantirHapa anataka amroge MTU kisa katokomea na kilo tano zake..na akaanzisha na sredi JF kabisa akitafuta msaada.. very funny!!. Huyu hapa Natafuta mganga wa kienyeji hapa Dar es Salaam
Ahahaha!! JF haina siri hata kidogo.. Vipi kuna mtu alimvuruga huko? Maana Mimi huwa namuignore namuonaga kama "mwezi nchanga hivi" kuna time alitaka kuniprovoke nikamzima kimjini.hahaaa hahaa nimecheka kwa sauti sana ujue mkuu....njoo tafadhali "" Palantir
hahaaa"" kwakweli " huyu muongeze katika taglist ya wale ambao mwezi ukiandama wana kuwa wehu "" hamna jipya alilolileta "" ila kuna member alikuwa anafukua makaburi ndio akaleta zile link zake ""Ahahaha!! JF haina siri hata kidogo.. Vipi kuna mtu alimvuruga huko? Maana Mimi huwa namuignore namuonaga kama "mwezi nchanga hivi"
Ahahaha!! Umenikumbusha ngoja nikamtag ausome ule Uzi unaomuhusu mapemaa.hahaaa"" kwakweli " huyu muongeze katika taglist ya wale ambao mwezi ukiandama wana kuwa wehu "" hamna jipya alilolileta "" ila kuna member alikuwa anafukua makaburi ndio akaleta zile link zake ""
yaani yule Jamaa bwana daahh"' m tag tu aiseeAhahaha!! Umenikumbusha ngoja nikamtag ausome ule Uzi unaomuhusu mapemaa.
Huyo member mfukua makaburi katisha.
Baki na Nguvu ya Buku tu!..kule nimekwenda Tayari..nimecheka hatari"" yaani alisema anaingiza ml.1 per day " lakini sasa hivi Anataka kukopa ml.5,..yaani ml.5 inamtoa jasho la meno "" wakati alikuwa anaingiza ml.1 kwa siku kwa mujibu wake "" daahh Hawa watu waongo sana aisee
hahaaa..ukiona waitiwa fursa..ujue kuwa wewe ndiye fursa yenyew""hearly na Humble African wanakwambia "Mjini njoo na Akili, tabia utazikuta!."
Nikikinunua mimi na hati itatoka kwa jina lenu si inakua nimeingia choo kisichotumika?Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23
Bei 19M.
PM kwa serious buyers
Karibuni
View attachment 776288View attachment 776289View attachment 776290
Niliwahi kuuliza "Double Entry System" ya Forex imekaaje sikupata majibu.Mkuu majitu yameenda shule ila bado majinga ya kutupwa.
Yaani mtu anakua mjinga katika high level anashindwa hata ku-google na kujua authenticity ya hiyo Forex Trading kwamba ni Ponzi Scheme..
Ni uongo wa karne eti trading software ina internal algorithm self regulating inayohakikisha kila wakati trading inakuletea faida...Hakuna software ya namna hiyo duniani..Loser wa trade awe nani kama wewe unashinda tu,tena self driven?
Kalagabaho!
Hahah anatumia technic gani?Wkt mwenzako sa hivi anatafuta mtaji wa Mil 5 aache kazi hahahhongera kwa pass mark ila mbinguni au motoni huendi nazo (kidding) so kwa sasa unatumia techncl gani kwenye forex,
stay in schoolSo should I now drop from university bro? A hope its too late to know these what now is the soln ?