Blaza Ontario popote pale ulipo, Mungu akubariki aisee!

Ahahaha!! JF haina siri hata kidogo.. Vipi kuna mtu alimvuruga huko? Maana Mimi huwa namuignore namuonaga kama "mwezi nchanga hivi"
hahaaa"" kwakweli " huyu muongeze katika taglist ya wale ambao mwezi ukiandama wana kuwa wehu "" hamna jipya alilolileta "" ila kuna member alikuwa anafukua makaburi ndio akaleta zile link zake ""
 
hahaaa"" kwakweli " huyu muongeze katika taglist ya wale ambao mwezi ukiandama wana kuwa wehu "" hamna jipya alilolileta "" ila kuna member alikuwa anafukua makaburi ndio akaleta zile link zake ""
Ahahaha!! Umenikumbusha ngoja nikamtag ausome ule Uzi unaomuhusu mapemaa.

Huyo member mfukua makaburi katisha.
 
hongera kwa pass mark ila mbinguni au motoni huendi nazo (kidding) so kwa sasa unatumia techncl gani kwenye forex,
 
kule nimekwenda Tayari..nimecheka hatari"" yaani alisema anaingiza ml.1 per day " lakini sasa hivi Anataka kukopa ml.5,..yaani ml.5 inamtoa jasho la meno "" wakati alikuwa anaingiza ml.1 kwa siku kwa mujibu wake "" daahh Hawa watu waongo sana aisee
Baki na Nguvu ya Buku tu!..:D
 
Mkuu majitu yameenda shule ila bado majinga ya kutupwa.

Yaani mtu anakua mjinga katika high level anashindwa hata ku-google na kujua authenticity ya hiyo Forex Trading kwamba ni Ponzi Scheme..

Ni uongo wa karne eti trading software ina internal algorithm self regulating inayohakikisha kila wakati trading inakuletea faida...Hakuna software ya namna hiyo duniani..Loser wa trade awe nani kama wewe unashinda tu,tena self driven?

Kalagabaho!
Niliwahi kuuliza "Double Entry System" ya Forex imekaaje sikupata majibu.
Yaani niki-debit kwangu, wapi nitaenda ku-credit?
 
Mleta mada ana ujingii fulani hivi..
Wako waliosoa iko cheti chato ni toilet paper tuu,,,
Elimu haina kiburi wala majivuno kwa yeyote asiepata au kuelewe sana...
Tuliza mukali Kaka soma zaidi..
 
kawaida ya forex inatakiwa umshukuru mtu kama una piga kuanzia dollar mia tano kwa siku sasa hivi vi dollar kumi kumi na ikifika ijuma una porwa vyote ni hatari. siku nikiwa strong na mimi nakuja na FFF Zangu za sec na chuo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom