Blaza Ontario popote pale ulipo, Mungu akubariki aisee!

Hahah aisee lkn kuna uzi umeanzisha unasema unataka kukopa mil 5 bank afu uache kazi kuna dili umeiona sehemu.

Vp kule forex kufikisha mil 5 imeshindikana nini hahah.



Mkuu majitu yameenda shule ila bado majinga ya kutupwa.

Yaani mtu anakua mjinga katika high level anashindwa hata ku-google na kujua authenticity ya hiyo Forex Trading kwamba ni Ponzi Scheme..

Ni uongo wa karne eti trading software ina internal algorithm self regulating inayohakikisha kila wakati trading inakuletea faida...Hakuna software ya namna hiyo duniani..Loser wa trade awe nani kama wewe unashinda tu,tena self driven?

Kalagabaho!
 
Naona siku hz uliumbuka baada ya kugeuzwa msukule na ONTARIO mwisho ukaishia kuomba mkopo..
General Mangi
Chalii yangu sikia nikuchane....

We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma??
We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi...

Boy unajua mimi ni katika wale vijana tuliobahatika kumaliza ma vyuo tena kwa ma GPA makali tukiwa na theory kuwa kama hakuna wa kukushika mkono kwenye industry basi "
only GPA will back up you kwenye ajira"

Huu hapa ushahidi, hatuongei Fyoko Fyoko chalii yangu:


View attachment 600365

View attachment 600367

Achana na hayo ma karatasi hapo juu... Elimu pesa, GPA mbwembwe tu.
Boy, unajua mie ni Engineer?? Achana na hawa ma Graduate Engineer, mie ni Proffesional Engineer kabisa nimesajiliwa na ERB na Reg No yangu ni PE17X2 (hapo kwenye X nimeficha kwa usalama wangu).

Sasa Chalii yangu nadhani mpaka hapa hujaelewa lengo langu nini au sio??
Haina kwere... Ngoja nimalizie verse yangu ya mwisho then Chorus utamalizia mwenyewe:


Boy, pamoja na Uinjinia wangu huu, ma GPA makali, kusoma ma spesho school, kutoka na ma Division One ya Point tatu secondary (ngoja nikuoneshe na hii nilikua nimesahau Boy)

View attachment 600370

Umesikia chalii pamoja na hizo mbwembwe zote hapo juu, mshahara naopokea ulinifanya niwe moja kati ya Machaliii waliohisi kukata tamaa ya maisha duniani, kuichukia elimu, kuona kama kwenda shule nilipoteza muda wangu bure....
Mshahara unapata unawaza nitajenga lini, gari, sijui nioe mwaka huu sijui mwakani...

Chalii ulipokuja na idea yako ya [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG] ulitufungua mimacho yetu wengi sana...
Achana na kina Complex, Bavaria na Al-Watan waliokua tayari wanajua "Samthingi abauti Nathingi". Mie nilkua mweupe peeee....


Unajua hakuna siku nilochukia kama siku unamjibu boya Mberoya kuwa:
"Mshahara wako wa Mwezi mzima mie naupata ndani ya saa moja"

Achana na hiyo, kuna siku ukasema:
"Nikaingiza mshahara wa manager wa Bank, nikazima Laptop nikalala"

*****.... Chaliii namalizia verse yangu (usisahau kuimba Chorus):
Baada ya kutinga pale Mjengoni Jangid Plaza (session ya kwanza Group 2 nilikua napenda kukaa kiti cha mbele kabisa) last week nimeingiza mshahara wangu wa mwezi mzima ndani ya Week...
Ndio naanza chalii yangu, napambana nifikie point ya Kuingiza Salary yangu ndani ya siku tatu.
Japo Sina mpango wa kuacha kazi yangu sababu ndio Profession yangu (nimeisomea miaka 17 *****)
Ngoja nisave save ki salary changu niongeze kwenye Capital yangu boss...

View attachment 600380

Halafu yule Secretary wako yuko poa sana... Anapiga kazi fresh kabisa...
Nikifikia lengo langu la kuingiza Salary ndani ya siku tatu, nitakua nakurushia 10% umpe kila mwezi...

ONTARIO eeeeeh... Machalii wa Kijenge Juu wanakwambia we ni Nyoooko...

Mungu akubariki, Mungu ibariki TMT.
[HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
 
nenda na kule anataka akope!
kule nimekwenda Tayari..nimecheka hatari"" yaani alisema anaingiza ml.1 per day " lakini sasa hivi Anataka kukopa ml.5,..yaani ml.5 inamtoa jasho la meno "" wakati alikuwa anaingiza ml.1 kwa siku kwa mujibu wake "" daahh Hawa watu waongo sana aisee
 
kule nimekwenda Tayari..nimecheka hatari"" yaani alisema anaingiza ml.1 per day " lakini sasa hivi Anataka kukopa ml.5,..yaani ml.5 inamtoa jasho la meno "" wakati alikuwa anaingiza ml.1 kwa siku kwa mujibu wake "" daahh Hawa watu waongo sana aisee
Hapa anataka amroge MTU kisa katokomea na kilo tano zake..na akaanzisha na sredi JF kabisa akitafuta msaada.. very funny!!. Huyu hapa Natafuta mganga wa kienyeji hapa Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom