Blaza Ontario popote pale ulipo, Mungu akubariki aisee!

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
463
1,000
Chalii yangu sikia nikuchane....

We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma??
We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi...

Boy unajua mimi ni katika wale vijana tuliobahatika kumaliza ma vyuo tena kwa ma GPA makali tukiwa na theory kuwa kama hakuna wa kukushika mkono kwenye industry basi "
only GPA will back up you kwenye ajira"

Huu hapa ushahidi, hatuongei Fyoko Fyoko chalii yangu:

upload_2017-10-2_12-1-14.png

upload_2017-10-2_12-6-59.png

Achana na hayo ma karatasi hapo juu... Elimu pesa, GPA mbwembwe tu.
Boy, unajua mie ni Engineer?? Achana na hawa ma Graduate Engineer, mie ni Proffesional Engineer kabisa nimesajiliwa na ERB na Reg No yangu ni PE17X2 (hapo kwenye X nimeficha kwa usalama wangu).

Sasa Chalii yangu nadhani mpaka hapa hujaelewa lengo langu nini au sio??
Haina kwere... Ngoja nimalizie verse yangu ya mwisho then Chorus utamalizia mwenyewe:

Boy, pamoja na Uinjinia wangu huu, ma GPA makali, kusoma ma spesho school, kutoka na ma Division One ya Point tatu secondary (ngoja nikuoneshe na hii nilikua nimesahau Boy)

upload_2017-10-2_12-17-45.png

Umesikia chalii pamoja na hizo mbwembwe zote hapo juu, mshahara naopokea ulinifanya niwe moja kati ya Machaliii waliohisi kukata tamaa ya maisha duniani, kuichukia elimu, kuona kama kwenda shule nilipoteza muda wangu bure....
Mshahara unapata unawaza nitajenga lini, gari, sijui nioe mwaka huu sijui mwakani...

Chalii ulipokuja na idea yako ya [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG] ulitufungua mimacho yetu wengi sana...
Achana na kina Complex, Bavaria na Al-Watan waliokua tayari wanajua "Samthingi abauti Nathingi". Mie nilkua mweupe peeee....

Unajua hakuna siku nilochukia kama siku unamjibu boya Mberoya kuwa:
"Mshahara wako wa Mwezi mzima mie naupata ndani ya saa moja"

Achana na hiyo, kuna siku ukasema:
"Nikaingiza mshahara wa manager wa Bank, nikazima Laptop nikalala"

*****.... Chaliii namalizia verse yangu (usisahau kuimba Chorus):
Baada ya kutinga pale Mjengoni Jangid Plaza (session ya kwanza Group 2 nilikua napenda kukaa kiti cha mbele kabisa) last week nimeingiza mshahara wangu wa mwezi mzima ndani ya Week...
Ndio naanza chalii yangu, napambana nifikie point ya Kuingiza Salary yangu ndani ya siku tatu.
Japo Sina mpango wa kuacha kazi yangu sababu ndio Profession yangu (nimeisomea miaka 17 *****)
Ngoja nisave save ki salary changu niongeze kwenye Capital yangu boss...

upload_2017-10-2_12-41-48.png

Halafu yule Secretary wako yuko poa sana... Anapiga kazi fresh kabisa...
Nikifikia lengo langu la kuingiza Salary ndani ya siku tatu, nitakua nakurushia 10% umpe kila mwezi...

ONTARIO eeeeeh... Machalii wa Kijenge Juu wanakwambia we ni Nyoooko...

Mungu akubariki, Mungu ibariki TMT.
[HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
 
Attachments

Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
4,459
2,000
Kwa wale wenzangu n mm tuckuwa n mitaji ya kuanza kutrade plz pm me kuna bonus free kabisa hauhitaj kudeposit ili utoe faida yako...ukipata faida ww unatoa tu n kuanza kutumia kwa mambo yako...bonus hii itakusaidia kuicheck strategy yako kma ipo poa huku unatengeneza pesa na pia itakusaidia kutengeneza confidence kwenye soko...ukipata mtonyo unasonga nao mbele zaid
Hizi bonus ni kupiteza mda tu
 
The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
5,430
2,000
Acha awapige hao mafal .....tu mkuu
Kama kasepa itakuwa safi sana watu washazoea mteremkoooo.....
Ebwana fr....nmeskia serikali soon wanafungua export so tutaanza mishe zetu zile

Ova
asee tunahamia ccm skuhiyo mawe hayaozi ..Kama nawaona wathailand
 
thisisdenix

Member
Apr 14, 2013
47
225
Nini hasa kilichopelekea huko kote, Kweli ndonga inahitajika sana kwa kiasi chake. Kusoma ni bonge moja la deal sana sana sana, Lakini sasa tatizo linakuja kama hutumii (Ndonga, Busara, Heshima na mawazo chanya mbele ya jamii )

It nothing .
It Nothing.

Note:
+Kijana anaweza kukimbia sana, lakini usisahau mzee hapotei njia.

Hongera
@CCNPEngeneer
 
Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,474
2,000
Chalii yangu sikia nikuchane....

We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma??
We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi...

Boy unajua mimi ni katika wale vijana tuliobahatika kumaliza ma vyuo tena kwa ma GPA makali tukiwa na theory kuwa kama hakuna wa kukushika mkono kwenye industry basi "
only GPA will back up you kwenye ajira"

Huu hapa ushahidi, hatuongei Fyoko Fyoko chalii yangu:

View attachment 600365

View attachment 600367

Achana na hayo ma karatasi hapo juu... Elimu pesa, GPA mbwembwe tu.
Boy, unajua mie ni Engineer?? Achana na hawa ma Graduate Engineer, mie ni Proffesional Engineer kabisa nimesajiliwa na ERB na Reg No yangu ni PE17X2 (hapo kwenye X nimeficha kwa usalama wangu).

Sasa Chalii yangu nadhani mpaka hapa hujaelewa lengo langu nini au sio??
Haina kwere... Ngoja nimalizie verse yangu ya mwisho then Chorus utamalizia mwenyewe:

Boy, pamoja na Uinjinia wangu huu, ma GPA makali, kusoma ma spesho school, kutoka na ma Division One ya Point tatu secondary (ngoja nikuoneshe na hii nilikua nimesahau Boy)

View attachment 600370

Umesikia chalii pamoja na hizo mbwembwe zote hapo juu, mshahara naopokea ulinifanya niwe moja kati ya Machaliii waliohisi kukata tamaa ya maisha duniani, kuichukia elimu, kuona kama kwenda shule nilipoteza muda wangu bure....
Mshahara unapata unawaza nitajenga lini, gari, sijui nioe mwaka huu sijui mwakani...

Chalii ulipokuja na idea yako ya [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG] ulitufungua mimacho yetu wengi sana...
Achana na kina Complex, Bavaria na Al-Watan waliokua tayari wanajua "Samthingi abauti Nathingi". Mie nilkua mweupe peeee....

Unajua hakuna siku nilochukia kama siku unamjibu boya Mberoya kuwa:
"Mshahara wako wa Mwezi mzima mie naupata ndani ya saa moja"

Achana na hiyo, kuna siku ukasema:
"Nikaingiza mshahara wa manager wa Bank, nikazima Laptop nikalala"

*****.... Chaliii namalizia verse yangu (usisahau kuimba Chorus):
Baada ya kutinga pale Mjengoni Jangid Plaza (session ya kwanza Group 2 nilikua napenda kukaa kiti cha mbele kabisa) last week nimeingiza mshahara wangu wa mwezi mzima ndani ya Week...
Ndio naanza chalii yangu, napambana nifikie point ya Kuingiza Salary yangu ndani ya siku tatu.
Japo Sina mpango wa kuacha kazi yangu sababu ndio Profession yangu (nimeisomea miaka 17 *****)
Ngoja nisave save ki salary changu niongeze kwenye Capital yangu boss...

View attachment 600380

Halafu yule Secretary wako yuko poa sana... Anapiga kazi fresh kabisa...
Nikifikia lengo langu la kuingiza Salary ndani ya siku tatu, nitakua nakurushia 10% umpe kila mwezi...

ONTARIO eeeeeh... Machalii wa Kijenge Juu wanakwambia we ni Nyoooko...

Mungu akubariki, Mungu ibariki TMT.
[HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
Chuganian boy,wape gwara machalii ya ngareroo
 
okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,675
2,000
Mkuu kama hayo matokeo ya advance ya pcm ni kweli ya kwako, bhasi heshima yako mkuu, ila nahis kwenu utakuwa na matatizo huwezi ukapata physics A chemia A na math A, especially physics ya advance, daah jamaa ww noma CCNP Engineer
 
Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
843
1,000
sipo kupinga au kukubali knowledge aliyopata huyo bwana engineer but kukubali uhalisia si kutumwagia mavyeti ama hakika inatia uwalakini i have never seen upumbavu wa kiwango cha fly over ka huo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
sure, mi mwenyewe nina gpa ya 4.9 na nilikuwa TO mwaka wetu ila siwezi post vyeti, labda salary slip.....nagonga USD 15,000 per month, na sichezi biko wala forex, nacheza na mitambo tu. Mkibisha narusha salary slip 🥺
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom