Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Taarifa kutoka chanzo cha karibu na Blandina Nyoni zinasema Kuwa aliyekuwa Katibu mkuu wa wizara ya Afya amesema anasiri nzito ya vigogo mafisidi wote wa nchi hii waliokwapua fedha hazina kupitia miradi na project feki katika kipindi chote alipokuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, amefunguka na kusema nchi hakuna kiongozi msafi kama kuchafuana tutachufuana wote na kama jela itajaa Viongozi wa juu wa serikali wasasa na wastaafu.

Taarifa zinasema amekasirishwa na Kauli za pinda na Mpambe wake Ghasia ambaye anakashifa za kutosha pale utumishi juu ya mishahara na project mabalimbali; Amewataka watanzania wakae mkao wa kupata waporaji wakubwa wa mali ya umma
 
kwa nini hakuyasema hayo tangu awali... anakumbuka shuka wakati kumekucha? anyway, amwage hizo siri basi kama kweli anazo ili zifanyiwe kazi
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaaaaaaaaa Longa Longa Brandina ila usimsahau na Riz1 pia nani anayemuwezesha Samaki mmoja akioza wote...........!
 
sema tu mama kwani ukisema utakuwa umekiri kwa kinywa chako,na kupata kibali kwa watu na Mungu pia.
 
Tunataka mambo hadharani si kubwabwaja bila mpango,mwisho wa siku alikuwa wapi siku zote kusema hayo aliyosema?
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaaaaaaaaa Longa Longa Brandina ila usimsahau na Riz1 pia nani anayemuwezesha Samaki mmoja akioza wote...........!
Hana lolote..anajisumbua kutishia paka manyoya. Huo uzalendo aliokuwa nao baada ya kuning'inizwa hauna mashiko! asubiri tu hatma yake....ame kweli kuondoka kwa Luhanjo kumeacha mwangwi mkubwa!
 
nyny ma great thinkers wenzangu ndio mnataka kujaa tele kwenye huu upupu?

hii ni habari ya kutunga, kwa njia moja au nyengine hawezi na hathubutu kunena hayo yalionenwa hapo juu na mnenaji hata siku moja
 
Taarifa kutoka chanzo cha karibu na Blandina Nyoni zinasema Kuwa aliyekuwa Katibu mkuu wa wizara ya Afya amesema anasiri nzito ya vigogo mafisidi wote wa nchi hii waliokwapua fedha hazina kupitia miradi na project feki katika kipindi chote alipokuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, amefunguka na kusema nchi hakuna kiongozi msafi kama kuchafuana tutachufuana wote na kama jela itajaa Viongozi wa juu wa serikali wasasa na wastaafu.

Taarifa zinasema amekasirishwa na Kauli za pinda na Mpambe wake Ghasia ambaye anakashifa za kutosha pale utumishi juu ya mishahara na project mabalimbali; Amewataka watanzania wakae mkao wa kupata waporaji wakubwa wa mali ya umma
Alikuwa wapi muda woote,kama alikuwa na nia nzuri na taifa hili????
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Taarifa kutoka chanzo cha karibu na Blandina Nyoni zinasema Kuwa aliyekuwa Katibu mkuu wa wizara ya Afya amesema anasiri nzito ya vigogo mafisidi wote wa nchi hii waliokwapua fedha hazina kupitia miradi na project feki katika kipindi chote alipokuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, amefunguka na kusema nchi hakuna kiongozi msafi kama kuchafuana tutachufuana wote na kama jela itajaa Viongozi wa juu wa serikali wasasa na wastaafu.

Taarifa zinasema amekasirishwa na Kauli za pinda na Mpambe wake Ghasia ambaye anakashifa za kutosha pale utumishi juu ya mishahara na project mabalimbali; Amewataka watanzania wakae mkao wa kupata waporaji wakubwa wa mali ya umma

Hivi huyu BRANDINA anafikiri sisi wa-Tz ni wajinga? Kwahiyo alipoona Viongozi wanaiba pale Hazina akaamua na yeye aibe?! Mwogope MUNGU BRANDINA. Beba msalaba wako songa mbele. Anayejua siri yako ni MUNGU, mwendee yeye atakusamehe.
 
MWACHENI jamani, msimshambulie: SEMA MAMA SEMA MAMA, safisha nchi kwa kufunguka ; funguka mama, funguka mama
 
Yeye alichukua hatua gani, akiwa kama Mhasibu Mkuu! Anyway, chanzo cha habari huenda ni mtu aliyeshiba ugali samaki; haaminiki saana.
 
Back
Top Bottom