Elections 2010 Blandes kachukua Karagwe

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66
Kwa mujibu wa TBC taifa Radio..Mhe Blades amechukua kiti cha Jimbo la Karagwe kwa kumshinda mgombea wa chadema.Amepata kura 32,000+ na mpinzani kapata kwenye 20++++
CCM wameendelea kuchakachua tu.
 
Inavyoelekea majimbo kwa vyama vya upinzani ndio basi hali hii inasikitisha kuandamana sio dawa deal unamvizia msimamizi mmoja unamchinja wengine watatia akili :A S angry:
 
nimehuzunika sana,:doh:
kwa habari nilizopata nasikia magari ya ffu yanaenda mengi pale halmashauri.barabara haipitiki.
 
Matokeo yote ya kuanzia jana ni mchakachuo kwa kwenda mbele! CCM wamekuwa waroho kama mapaka shume!:A S angry: shame on u!
 
nimepatwa na nini? najaribu kuanzisha topic lakini sioni option hiyo!! au kuna mkono wa mtu? hebu nisaidieni wana jf
 
Back
Top Bottom