Denis Gregory
Member
- Jan 10, 2020
- 82
- 84
Nimerudi home
🇬🇧🇬🇧🇬🇧Nilikua nimetoka kidogoKaribu tena ulisahau nini huku
Una maanisha ulikuwa uingereza🇬🇧🇬🇧🇬🇧Nilikua nimetoka kidogo
YesUna maanisha ulikuwa uingereza
Umetuletea nini kutokea uingereza mkuu
hayaaaaaaNimerudi home
Ulimakafu unalipenda hili jukwaa nipe siriKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.