Blacklist na Whitelist: Matumizi ya maneno haya si muendelezo wa kiubaguzi kwa namna tofauti?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,726
10,020
"Blacklist na whitelist" sio maneno mageni sana katika ulimwengu wa leo. Mara nyingi haya maneno yamezoeleka kutumika katika mambo ya kiusalama katika mitandao ya mawasiliano.

Ukiangalia kwa upande mwingine maneno haya hasa hapo zamani kidogo katika nchi za wenzetu 'ulaya na marekani' maneno haya yalimaanisha tofauti au utofauti kati ya kundi/jamii moja hadi nyingine nikimaanisha;

WHITELIST: Hili lilikuwa ni kundi lililochukuliwa kuwa na haki zote katika jamii. Halikadhalika;

BLACKLIST: Hili lilikuwa ni kundi au jamii fulani iliyotengwa ama isiyokuwa na umuhimu wala haki yoyote. Kundi hili lilitumiwa hasa kwa watu waliokuwa si wasiokuwa na asili ya watu weupe hasa (Waafrika na watumwa)

Sasa je, kuna ulazima wa maneno haya kuendelea kutumika kwa karne hii? Je, kuendelezwa kutumiwa kwa maneno haya si muendelezo wa ubaguzi wa rangi kwa mtindo wa kitofauti?

Nimemaliza
 
Hata tukipiga kelele hayataweza kubadilishiwa maana, nasi tukazane kutengeneza yetu
 
We mwenyewe na asilimia kubwa kwenye ukoo wako mnamuogopa Paka Mweusi; bisha?!

We mwenyewe am certain angalau mara moja katika maisha yako umeshawahi kusema "Dah, yaani jamaa jeuusiiiii"; bisha?!

Wewe mwenyewe am certain ukikutana na mbwa wawili, na mmoja mweusi tii, na mwingine mweupe pee; hapo ukiwanza kuwapa sifa si ajabu ukasema "nimekutana na Jibwa jeusiiii" na mwingine mweupe; yaani mmoja kawa Jibwa kwa sababu tu ya rangi yake; bisha?!

Na kama utakuwa katikati ya hao mbwa wawili, na wote wakawa wanakuja upande wako, am certain utakimbilia upande wa mbwa mweupe; yaani yule mweusi utamuona Jibwa katili kwa sababu tu ya rangi yake; bisha?!

Wewe mwenyewe kama ghetto anakuja demu, kuna uwezekano mkubwa ukatamani kutandika shuka jeupe kuliko shuka jeusi; bisha!!! Yaani maskini hata shuka unaihukumu kwa rangi yake, na kukufanya iwe ni chanzo cha maamuzi yako ni ya rangi ipi demu mtoto wa kishua anatakiwa kuikuta kitandani?

Kama unabisha, we bisha tu kwa sababu itakuwa umezoea kubisha lakini ukweli wenyewe ndo huo, na kwahiyo hao wa whitelist na blacklist unaowaonea tu kwa sababu hata wewe hisia zako ni za ki-whitelist! tu!!

Halafu Mungu nae naona ndo kazidi kutuchanganya!!

Kwani kimemshinda nini usiku ukawa wa bluu, mwekundu, kijani au hata wa njanao badala na wenyewe kuufanya uonekane kama mweusi tiii, kiasi kwamba watu wema wanauogopa na Wachawi wanaupenda?!
 
"Racism will never end as long as white cars are still using black tyres. Racism will never end if people still use black to symbolize bad luck and white for peace. Racism will never end if people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals. Racism will never end as long as those who don’t pay their bills are blacklisted not whitelisted. Even when playing snooker, you haven’t won until you’ve sunk the black ball, and the white ball must remain on the table! But I don’t care, as long as I’m still using white toilet paper to wipe my black ass, I’m happy.”
Robert Mugabe
 
We mwenyewe na asilimia kubwa kwenye ukoo wako mnamuogopa Paka Mweusi; bisha?!

We mwenyewe am certain angalau mara moja katika maisha yako umeshawahi kusema "Dah, yaani jamaa jeuusiiiii"; bisha?!

Wewe mwenyewe am certain ukikutana na mbwa wawili, na mmoja mweusi tii, na mwingine mweupe pee; hapo ukiwanza kuwapa sifa si ajabu ukasema "nimekutana na Jibwa jeusiiii" na mwingine mweupe; yaani mmoja kawa Jibwa kwa sababu tu ya rangi yake; bisha?!

Na kama utakuwa katikati ya hao mbwa wawili, na wote wakawa wanakuja upande wako, am certain utakimbilia upande wa mbwa mweupe; yaani yule mweusi utamuona Jibwa katili kwa sababu tu ya rangi yake; bisha?!

Wewe mwenyewe kama ghetto anakuja demu, kuna uwezekano mkubwa ukatamani kutandika shuka jeupe kuliko shuka jeusi; bisha!!! Yaani maskini hata shuka unaihukumu kwa rangi yake, na kukufanya iwe ni chanzo cha maamuzi yako ni ya rangi ipi demu mtoto wa kishua anatakiwa kuikuta kitandani?

Kama unabisha, we bisha tu kwa sababu itakuwa umezoea kubisha lakini ukweli wenyewe ndo huo, na kwahiyo hao wa whitelist na blacklist unaowaonea tu kwa sababu hata wewe hisia zako ni za ki-whitelist! tu!!

Halafu Mungu nae ndo akazidi kutuchanganya!! Kwani kimemshinda nini usiku ukawa wa bluu, mwekundu, kijani au hata wa njanao badala na wenyewe kuufanya uonekane kama mweusi tiii, kiasi kwamba watu wema wanauogopa na Wachawi wanaupenda?!
Nakubishia mkuu. Kwenye suala la paka au mbwa weusi ndio nilonao nyumbani mengine nusu kwa nusu.
 
Naked Truth
 
"Ukitumia magnifying glass, there is no smooth surface".

Kwamba sasa tunautafuta ubaguzi wa rangi kwa darubini ya kutafuta maneno, ni dalili ya kufikiwa kwa ndoto za wapigania haki za usawa waliokuwapo miaka sitini iliyopita waliopitia ubaguzi wa rangi usio wa kuungaunga.
 
Hii ni kutema nyongo
We mwenyewe na asilimia kubwa kwenye ukoo wako mnamuogopa Paka Mweusi; bisha?!

We mwenyewe am certain angalau mara moja katika maisha yako umeshawahi kusema "Dah, yaani jamaa jeuusiiiii"; bisha?!

Wewe mwenyewe am certain ukikutana na mbwa wawili, na mmoja mweusi tii, na mwingine mweupe pee; hapo ukiwanza kuwapa sifa si ajabu ukasema "nimekutana na Jibwa jeusiiii" na mwingine mweupe; yaani mmoja kawa Jibwa kwa sababu tu ya rangi yake; bisha?!

Na kama utakuwa katikati ya hao mbwa wawili, na wote wakawa wanakuja upande wako, am certain utakimbilia upande wa mbwa mweupe; yaani yule mweusi utamuona Jibwa katili kwa sababu tu ya rangi yake; bisha?!

Wewe mwenyewe kama ghetto anakuja demu, kuna uwezekano mkubwa ukatamani kutandika shuka jeupe kuliko shuka jeusi; bisha!!! Yaani maskini hata shuka unaihukumu kwa rangi yake, na kukufanya iwe ni chanzo cha maamuzi yako ni ya rangi ipi demu mtoto wa kishua anatakiwa kuikuta kitandani?

Kama unabisha, we bisha tu kwa sababu itakuwa umezoea kubisha lakini ukweli wenyewe ndo huo, na kwahiyo hao wa whitelist na blacklist unaowaonea tu kwa sababu hata wewe hisia zako ni za ki-whitelist! tu!!

Halafu Mungu nae naona ndo kazidi kutuchanganya!!

Kwani kimemshinda nini usiku ukawa wa bluu, mwekundu, kijani au hata wa njanao badala na wenyewe kuufanya uonekane kama mweusi tiii, kiasi kwamba watu wema wanauogopa na Wachawi wanaupenda?!
 
Nyeusi Vs Nyeupe ni suala la Nature zaidi kuliko Humanity

Nature Over Humanity' kiasili rangi nyeupe ni nzuri na uwakirishi wa vitu vingi vizuri na nyeusi ni mbaya na uwakilishi wa vibaya

Ukweli Mchungu; Mungu angetupa chaguo la rangi kabla ya kuumbwa tuchague kilamtu aumbe mweupe au mweusi sijui wengi wengi wangechagua rangi gani ila nahakika engekuwa kumuona binadamu mweusi live ni ngumu kama kumuona Godzilla kwenye real life
 
Back
Top Bottom