Blackberry walikwama wapi (utawala wa iphone & android)?

mkorinto,
Hata siyo steve jobs maana idea ya kutengeneza simu hakuletewa yeye na alipoletewa aliikataa, yeye alisema kwanini watengeneze simu wakati wana ipod inafanya poa, kitu kilichomfanya awe interested na simu ni pale alipoona mdada flani mfanyakazi wa pale apple akitumia touch pad kutumia computer kwakuwa alikuwa na tatizo la vidole kilikuwa kimeumia, akatoka hapo akampa kazi jamaa mtaalamu wa touch screen amtengenezee touch screen yenye list ya vitu,

jamaa alipoitengeneze na kuiandikia code wakati ana scroll ilipofika mwisho ika bounce, ile string effect ya ios, jamaa akahisi kuna error kwenye code lakini akaiacha, hilo la string effectt ndilo lilimgusa sana steve baada ya kupewa hiyo kitu... ni long story mpaka iphone inaingia sokoni.

Hata siku ya launchia simu haikuwa tayari maengineer wakati jobs ana present walikuwa wanajikunyata wakihis muda wowote itabuma, halafu jobs alivyokuwa mshenzi, akasema mfano ukitaka kufuta contact unaenda hapa unafuta akafuta majina mawili kwenye simu, kwa waliokuwepo mle walihisi anawaonyesha tu ila kwa wafanyakazi wa apple maana yake wale aliyowafuta walikuwa fired hapo...
 
Nafaka, sasa aliwafukuza sababu waliharibu kitu wakati huo,au ilikuwaje mkuu.

anyway bado huwezi sema jamaa hakufanya kitu,kama size ya simu ilikuwa ni maoni yake,na slogan ya umbo zuri kwa bidgaa anazounda ndio inasimama kwenye kila bidhaa inayotoka apple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkorinto,
Sijasema hakufanya kitu ila idea haikuwa yake, na wale walio hustle mpaka ikatoka product hawakuwahi kuwa credited, yani mpaka inatengenezwa hakuwa anaamini katika bidhaa na yeye aliamini zaidi katika ipod hivyo katengeneza makundi mawili ya kuunda simu na kuendeleza ipod,

hawakuruhusiwa kuonana kamwe wala kila mmoja kujua nini kinaendelea kwa mwenzake lengo waone mwisho nan ndo mshindi. Mfano kwanza walikuwa wanawaza simu full touch, ukiiweka mfukoni si itajifungua?

engineer alikuja kupata solution aliipata kwenye mlango waa choo na kuprove kama iko efficiency baada ya kuiapply alienda nyumbani akampa demo mwanae wa miaka minne na alijua la kufanya kaslide simu ikafunguka.

Kosa dogo steve alikuwa anakufukuza the man was so rude na hakuwa mtu wa kuappreciate... lakini he was good in what he did
 
Back
Top Bottom