Blackberry torch 9800 zinaiuzwa bei poa ((blackberry kutoka uk ziko 100 )

Elly_jm

Member
Jun 6, 2012
44
0

Attachments

  • 0312132322211359310171_474029450_1-Blackberry-Torch-9800.jpg
    0312132322211359310171_474029450_1-Blackberry-Torch-9800.jpg
    5.8 KB · Views: 516
May be your new comer here.

Please, nenda jukwaa la matangazo madogo ndio mahala pake hii.
 
Tatizo la Blackeberry Used, linakujaga kwenye PIN. Utakuwa unaendelea kupokea Messeges kutoka kwa watu usio wajua. Mbaya zaidi kama mtumiaji wa kwanza alikuwa amejiunga na Makundi be it Makundi machafu au Mazuri, utaendelea kupata messege zake. Labda uamue kutokutumia BBM Sms na hiyo Application Uifutilie Mbali. Hata hivyo hicho kiasi na bado ni kikubwa sana wakati unaweza ukapata Android Safi kabisa kwa Bei kama hiyo. (I.e Galaxy S3 Mini) Sio kwamba nakuharibia Biashara: ni. Mawozo yangu tuu Mzee.
 
mkuu umetufungua macho kidogo sisi tusiojua kuhusu hizi handset,..
 
Jipatie blackberry torch
BRACKBERRY TORCH 9800

price: 250,000
full specification check link: BlackBerry Torch 9800 - Full phone specifications

USED BUT IN GOOD CONDITION
mobile: 0716 471365
area: dar es salaam

mkuu piga hela,.

Najaribu kukokotoa hapa siyo chini ya Tsh 25,000,000/- unategemea kuzikusanya kwa kuuza hizo simu zako used zipatazo 100,..

'' hii ni hela ya kujenga kwa mwananchi wa kawaida''
 
Kaka bb zimeshapitwa na time. Mie hata uniuzie elf30 sichukui.
Kaka kitu samsung. Hizo bb zimeshapigwa bao hata na tecno.
 
Tatizo la Blackeberry Used, linakujaga kwenye PIN. Utakuwa unaendelea kupokea Messeges kutoka kwa watu usio wajua. Mbaya zaidi kama mtumiaji wa kwanza alikuwa amejiunga na Makundi be it Makundi machafu au Mazuri, utaendelea kupata messege zake. Labda uamue kutokutumia BBM Sms na hiyo Application Uifutilie Mbali. Hata hivyo hicho kiasi na bado ni kikubwa sana wakati unaweza ukapata Android Safi kabisa kwa Bei kama hiyo. (I.e Galaxy S3 Mini) Sio kwamba nakuharibia Biashara: ni. Mawozo yangu tuu Mzee.

Nakubaliana nawe kwa silimia kubwa kwa sababu hizi simu zenye application hizo huwa zinawasumbua sana watumiaji.

Jambo moja pengine kutumia simu ambazo unlocked alini simesajiliwa na makampuni fulani kuna baadhi ya application programs kutofanya kazi kwa vile zimekuwa registered kwa kampuni husika na hivyo si rahisi kuzitumia, labda upate mtaalamu wa kuzibadilisha. Kumbuka pengine si rahisi kuzisafisha au kubadili program kwa vile ni za kampuni nyingine.
 
Acheni ushamba sii mseme tuu, kuwa hana hela kuliko kuponda kazi za wenzenu.

Wengi wenu mnatumia mchina mwisho saa sita.

Nikupe sifa za blackberry:
Kwanza ndio simu yenye usalama wa kutosha kisiri kuliko yeyote.
Pia blackberry haikamatiki kwa rada Huwezi kudurufu sms zake.

NDIO MAANA OBAMA HUTUMIA BLACKBERRY DAIMA. ALISHAULIWA NA N S A
 
Back
Top Bottom