Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi)!!!

<br />
<br />
Garantii ipo endapo simu itaonekana mbovu,sio uiharibu mwenyewe then uanze kudai garantii!Garantii ni wiki 1!Lakini ikipita hiyo wiki 1 na bado unahitaj msaada fulan kuhusu simu,utaruhusiwa kunipigia simu na utapewa huo msaada.Ahsante

Ni mpya mkuu, nitakupata wapi mwanangu hapa dar?
 
Unasema ina wi-fi na huhitaji kulipia kwa mwezi,sijaelewa mkuu
Yes,namaanisha inaweza kuunganisha wireless ukiwa kwenye hotspots kama vile steers,sehem wanazotoa huduma ya wireless bure,yani kama vile unavyounga thru ur laptop!Sema lazima uwe na password ya huyo provider wa wireless coz nyingi wanabana.Umeelewa?
 
Mkuu weka namba yako ya simu tuongee, maana haya ya KU-PM naona inachukua muda sana kureply
Siwezi weka namba yangu ya simu hapa,kuepusha usumbufu(Kuna wengine hawako serious na biashara).Nimesha ku pm namba zangu,cheki.
 
mchina tuu huu blackberry original haiwezi pungua 500000
<br />
<br />
Nadhani wewe hujui thamani ya internet. Usidanganywe kariakoo au kijiweni. Tumia internet kupata taarifa muhimu, la sivyo utaibiwa mpaka uchoke.
 
Hizi ni za wizi au?

Jee, unalipa kodi au kama posho za chama fulani?
 
ni pm namba yako tufanye biashara

blackberry original toka u.s.a zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi),yaani bila kulipia kwenye huduma za blackberry wakuu!!!!kuna blackberry 8820(zina wi-fi),blackberry pearl(nyembamba),blackberry curve(zina wi-fi).bei ni tshs.270,000 tu!ambaye yuko serious ani p.m ili tufanye business.nimeattach na picha hapa,naomba muiangalie.View attachment 34261
 
Back
Top Bottom