Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi)!!!

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi),yaani bila kulipia kwenye huduma za blackberry wakuu!!!!Kuna Blackberry 8820(zina Wi-Fi),Blackberry Pearl(Nyembamba),Blackberry Curve(zina Wi-Fi).Bei ni Tshs.270,000 tu!Ambaye yuko serious ani P.M ili tufanye business.Nimeattach na picha hapa,naomba muiangalie. BLACKBERRY copy.jpg
 
Zina internet bila kulipia kwa mwezi una maana gani mkuu? fafanua kdogo tafadhali!
 
Zina internet bila kulipia kwa mwezi una maana gani mkuu? fafanua kdogo tafadhali!
Mkuu,namaanisha sio mpaka ulipie ile huduma ya internet ya blackberry kwa mwezi ndio uweze kutumia internet.unaweza kutumia internet kwa kutumia salio lililopo kwenye line yako kama vile unatumia simu za kawaida zenye internet.
 
una maana zinaruhusu WAP?
 
Tupe specification na bei haiitaji 2kupm mkuu, kama unauza weka bei 2kutafute
 
Mkuu,namaanisha sio mpaka ulipie ile huduma ya internet ya blackberry kwa mwezi ndio uweze kutumia internet.unaweza kutumia internet kwa kutumia salio lililopo kwenye line yako kama vile unatumia simu za kawaida zenye internet.
Nyoosha kiswahili mkuu kwani kukatwa salio la kawaida sio kulipia..!?
 
Zina 3G na Wi-Fi connection pia na GPS!!!Hizi sio made in South Africa wala China!Ni made in MEXICO na CANADA!We ni kuchomeka line yako na kuzama JF moja kwa moja!
 
Mbona mm ninayo lakini imekataa kuunga moja kwa moja, kama iyo ya kwanza kwenye picha, na made in mexico!
 
Mkuu unatoa garantii au ukishanunua mali hairudishwi.<br />
Asante
<br />
<br />
Garantii ipo endapo simu itaonekana mbovu,sio uiharibu mwenyewe then uanze kudai garantii!Garantii ni wiki 1!Lakini ikipita hiyo wiki 1 na bado unahitaj msaada fulan kuhusu simu,utaruhusiwa kunipigia simu na utapewa huo msaada.Ahsante
 
Back
Top Bottom