Blackberry Mpyaaa zinauzwa!!

Evergreen

Senior Member
Jun 6, 2011
145
34
Salam Wanajamvi!!
Kama somo linavyojieleza:

Blackberry 9000 Tshs 420000

Blackberry 9630 Tshs 290000

Blackberry 8310 Tshs 180000

Bei ni nafuu sana ukilinganisha na bei za bidhaa hizi katika Soko la Simu la Dar es salaam!!
Unaweza kunifikia kwa namba hizi 0714843384,0783111222 na 0767443345

Weka picha mzee hasa hiyo 8310

Kwa bahati mbaya natumia internet kwenye simu yangu ya mkononi na sina hakika kama ninaweza ku-attach picha,ngoja niangalie uwezekano huo au la nitajaribu kuingia jamvini kwa kutumia computer!!

Hata hivyo km sio usumbufu kwako,u can google it na ukaiona,zote nilizonazo ni mpya kabisa!!

Ni brand za wapi? US, Canada, Hungary or China?

Salam Wanajamvi!!
Kama somo linavyojieleza:

Blackberry 9000 Tshs 420000

Blackberry 9630 Tshs 290000

Blackberry 8310 Tshs 180000

Bei ni nafuu sana ukilinganisha na bei za bidhaa hizi katika Soko la Simu la Dar es salaam!!
Unaweza kunifikia kwa namba hizi 0714843384,0783111222 na 0767443345
Kuna ndugu yangu anataka 9930, je atapata?

Mh! Za wapi hizi?

Hungary Mkuu,Bei nzuri kwa bei nafuu sana,muwe huru kwenda kwenye maduka makubwa ya simu halafu mlinganishe na bei zangu!!

Mm sijajumuisha bei za Pango,Wahudumu,AC,Tabasamu etc,its competitive price!!!

Unapatiikana wapi? Nikitaka unilettee nilipo hapa unaweza kuja fasta, ni PM mkuu nahitaji hiyo advanced version ?

Weka picha mzee hasa hiyo 8310

kAKA PICHA HAZITAKUSAIDIA KWENYE UNUNUZI HUU, UNAWEZA KU GOOGLE TU PICHA YA HIYO AINA UKAONA NA NDIVYO JAMAA ANAVYOWEZA KUKUFANYIA.. NI KAMA HIVI:

images

images

bb 8310

images

images

bb 9000

Unapatiikana wapi? Nikitaka unilettee nilipo hapa unaweza kuja fasta, ni PM mkuu nahitaji hiyo advanced version ?

Ndiyo Mkuu,nicheki kwenye moja ya namba zangu nilizozianisha,sasa hivi naelekea Mikocheni Shoppers kuna mteja nampelekea pia;0783111222,0714843384;0767443345

kAKA PICHA HAZITAKUSAIDIA KWENYE UNUNUZI HUU, UNAWEZA KU GOOGLE TU PICHA YA HIYO AINA UKAONA NA NDIVYO JAMAA ANAVYOWEZA KUKUFANYIA.. NI KAMA HIVI:

bb 8310

bb 9000

Asante Mkuu!!

Back
Top Bottom