Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

Ila nilikuwa nazipenda sana blackberry kwanini hawakuhamia hata kwenye apples IOS. Maana nakumbuka nilinunua blackberry passport baada ya wiki tuu ikaibiwa nikatumia two days kuitrack nakumpata mwizi wangu.

Baada ya kumpata haukumgusa gusa vitasa kidg
 
Ila aah sio utakuwa uamuz wa ovyo maana nani atanunua apple ya one grand wakat anapata xiaomi yenye battery life nzur na os ile ile ya iOS kwa bei cheap, wakifanya hivyo watafeli sana

apple wako kimkakati sana.wanajua kuna simu zinawazidi kila kitu isipokuwa wao wana IOS kama silaha ya mwisho.
 
Android!
Anaiendeda njia ya waliomtangulia. iOS atakufa siku akipata match kwenye eneo lake!

Android ni ngumu sana kupotea maana kufa kwa OS hutegemea sana app developers, hawa watu wakisusa kutengeneza app kwa ajili ya OS yako kwisha habari yako, tofauti na OS nyingine Android wana community kubwa sana ya developers
 
Biashara ya kuunda simu na OS wanasema ni biashara ngumu sana. Samsung na kuwa giant lakini OS yake bado kwa miaka yote hajaiingiza sokoni ameishia tu kuitumia kwenye vifaa vingine.

Kuunda OS sio kazi sana, kazi ni kuwavuta developers wa kutengeneza apps kwa ajili ya hiyo OS yako, watumiaji wa OS yako wanataka simplicity na ecosystem nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom