Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

kifo cha android ni siku IOS itakapokuwa open source,na kuruhusu kampuni nyingine kuitumia.

vinginevyo android itauwawa na OS nyingine kama itakuja,ambayo itakuwa imara,nyepesi,nzuri na ni huru kuliko ilivyo.
Google ana OS nyingine inaitwa Fuchsia iko jikoni na samsung naye kashiriki kwa kiasi flani kuidevelop. Hiyo imekuwa developed from the ground hadi kernel wameitengeneza. Inasemekana ndiyo itakuwa mrithi wa android
 
Hapa umenikumbusha msiba wa Huawei kiujumla na OS yao.. halafu walikuwa wana ile soundtrack yao nyimbo inaitwa Dream it possible
Sanctions za US zimeiua. Nachoona US anaogopa development ya mchina kwenye tech. Nimeona hadi ameweka sanctions kwenye kampuni za kichina zilizofanikiwa kwa kiasi flan kwenye quantum computing. Huawei soona anaanza manufacture chips
 
kifo cha android ni siku IOS itakapokuwa open source,na kuruhusu kampuni nyingine kuitumia.
.

Ila aah sio utakuwa uamuz wa ovyo maana nani atanunua apple ya one grand wakat anapata xiaomi yenye battery life nzur na os ile ile ya iOS kwa bei cheap, wakifanya hivyo watafeli sana
 
Ila aah sio utakuwa uamuz wa ovyo maana nani atanunua apple ya one grand wakat anapata xiaomi yenye battery life nzur na os ile ile ya iOS kwa bei cheap, wakifanya hivyo watafeli sana
Apple hatari sana, report ya juzi juzi inadai kwamba Google anamlipa Apple asije akajihusisha na search engine business
 
Sanctions za US zimeiua. Nachoona US anaogopa development ya mchina kwenye tech. Nimeona hadi ameweka sanctions kwenye kampuni za kichina zilizofanikiwa kwa kiasi flan kwenye quantum computing. Huawei soona anaanza manufacture chips

Exactly, sorry hebu elezea zaid kidg kuhus quantum computing
 
Apple hatari sana, report ya juzi juzi inadai kwamba Google anamlipa Apple asije akajihusisha na search engine business

Uzuri wa apple wanadeal na both, technology kama hii ecosystem yake plus wana insanely good marketing strategies
 
Exactly, sorry hebu elezea zaid kidg kuhus quantum computing
Mkuu sitoeleza sana maana uelewa wangu wa quantum computing siyo mkubwa ila zinafanya kazi tofauti na hizi computers zetu. Mfano inadaiwa quantum computer inaweza crack 2048 bit rsa encryption kwa masaa nane tu.
So hofu ya marekani ni kwamba breakthrough ya china kwenye quantum computing kwao itatishia usalama maana wanaweza kucrack security zao nyingi.
Haifanyi kazi kwa 0s and 1s kama hizi computer zetu
 
Yes, ila mimi naona kama innovations imepungua kwa miaka ya karibuni watu wako kwenye macamera sijui wanataka kila mtu awe cameraman

kabisa, yaani siku hizi wamefocus kwenye camera sabab ya hii social media era, mpaka sasa tuna decent cameras kibao wanatakiwa wamove on na ubunifu kwenye aspects nyingine AR au vingine
 
kabisa, yaani siku hizi wamefocus kwenye camera sabab ya hii social media era, mpaka sasa tuna decent cameras kibao wanatakiwa wamove on na ubunifu kwenye aspects nyingine AR au vingine
Kweli mkuu. Speculation zinadai kifaa cha apple kitakachorithi iphone ni AR glasses
 
2016 na time value of money, ilikuwa pesa nzur
Ila nilikuwa nazipenda sana blackberry kwanini hawakuhamia hata kwenye apples IOS. Maana nakumbuka nilinunua blackberry passport baada ya wiki tuu ikaibiwa nikatumia two days kuitrack nakumpata mwizi wangu. 😢😭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom