Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
Habar za muda huu waungwana, jaman mm mwenzenu nina tatzo na cm yang hii ya blackberry nayotumia (aina ya curve 8520) nashndwa ku-dowload app nyng ikiwemo hata ya jamiiforum na fb sabab kla napotaka ku-download kutoka kwny blackberry word nashndwa sabab inanidai blackberry id password na username japo nliibadlisha baada ya kuinunua toka kwa mtu lakn kla nikiingiza username mpya na password iananiambia "enter user name associated with this smartphone" jaman nashndwa kuelewa nifanyeje, kwa anaye faham au mwny uzoef na hz blackberry msaada wenu ni wa muhimu natanguliza shukran zang za dhat!!