Blackberry curve 8520, bold 9000 zinauzwa...

Ayusema

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
549
189
Blackberry curve 8520 280000
blackberry bold 9000 320000
good condition....... blackberry-curve-8520-purple.jpg
 
He he huenda kwake hakuna umeme ni usiku ndio maana hajaona bei,mambo ya kutumia simu kusasambua news usiku kupitia simu wakati hakuna umeme inakuwa taabu kidogo

Nadhani wanataka neno lenyewe "bei" lionekane ndiyo waelewe kwamba hiyo 280000 na 320000 ni bei na si model ya hizo simu.Kazi kweli kweli teh teh teh
 
Bei hua zinaandikwa kwa kuanza na "currency code" kama Tzs, Usd, Yen n.k.
Na kwa hela yetu ya madafu mwisho unaweza kumalizia
/= kumaanisha hakuna Senti.
Pia lazima kila baada ya tarakimu tatu kutoka kulia utenganishe na "," (koma),
Sasa mambo ya kuweka linamba tu sijui 280000 halieleweki kama ni toleo la simu, ukubwa wa simu, typing error ama vipi!!!
Mnatuzingua tu!!
 
hivi blackberry curve nazo zipo kwenye mfumo wa free internet kwenye mitambo yao ya uingereza na canada?
 
Bei hua zinaandikwa kwa kuanza na "currency code" kama Tzs, Usd, Yen n.k.
Na kwa hela yetu ya madafu mwisho unaweza kumalizia
/= kumaanisha hakuna Senti.
Pia lazima kila baada ya tarakimu tatu kutoka kulia utenganishe na "," (koma),
Sasa mambo ya kuweka linamba tu sijui 280000 halieleweki kama ni toleo la simu, ukubwa wa simu, typing error ama vipi!!!
Mnatuzingua tu!!

Kweli vilaza hawawezi kwisha nchi hii,subiri basi atakuja kukuwekea bei.Lakini naomba nitabiri bei atakazokuandikia ni Tsh 280,000/= na Tsh 320,000/= Ungwini kazi kweli kweli teh teh teh
 
Kilaza ni wewe usiejua hata bei inaandikwaje.
Na nahisi utakua umesoma kupitia mpango wa MEMKWA tu.
Kwakua amesema bei ipo hapo, na pia ameweka toleo la simu ndio ikawa rahis kwako kujua halafu kuja kuzuga unatabiri, tabiri siku yako ya kufa basi kama we ni mtaalamu sana.
 
Bwa ha ha ha ha. That's the best i can do. Naogopa ban mkuu,tuishie hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom