blackberry curve 3 for sale

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
ni blackberry curve 8900
ni mpya imetoka south africa.
inakuja box lake, usb, na charger.
inapatikana dar es salaam.
kwa mawasiliano . 0718355635
bei 260,000
 
hakuna simu inayoitwa blackberry curve 3, hicho ni kimeo kutoka Shanghai

sijaanza kutumia simu leo kijana.....navosema curve 3 namaanisha.......google maana ya curve 3 ni nini na soma details nilizoweka hapo ujue model ake sio unakurupuka tu
 
sijaanza kutumia simu leo kijana.....navosema curve 3 namaanisha.......google maana ya curve 3 ni nini na

soma details nilizoweka hapo ujue model ake sio unakurupuka tu
Kwa hiyo Curve 3 sio model yake, sasa Curve 3 ni nini? Umeibatiza jina wewe mwenyewe? Kichwa cha habari kinasema unauza "blackberry curve 3"! Utauzaje kitu hujui kinaitwaje? Ndio maana tunazidiwa na wakenya kwenye kila kitu kiuchumi, uelewa wetu wa mambo mdogo mno!
 
mkuu ni wewe pekee ndo usiojua iyo inaitwa curve 3..........unaona shida gani ku google
 
mkuu ni wewe pekee ndo usiojua iyo inaitwa curve 3..........unaona shida gani ku google

Mobile Phones - Blackberry - Blackberry
Curve 9300 3G (Curve 3) Overview of Blackberry Curve 3G 9300 Mobile messaging and communication
is made simple on the BlackBerry Curve ... www.omafones.com/../184.htm Blackberry Curve 3g 9300 (curve 3) - Technology Market - Nairaland Blackberry Curve 3G-9300 also known as Curve 3. Now available for immediate sale and dispatch here in Nigeria, free ... www.nairaland.com/520984/
blackberry...
 
Mkuu BB 9300 ni curve 2 sio curve 3 nahisi ndo kama hii ninayotumia. Kama hiyo 9300 ni curve 3 itakuwa ya bangladesh au cambodia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu BB 9300 ni curve 2 sio curve 3 nahisi ndo kama hii ninayotumia. Kama hiyo 9300 ni curve 3 itakuwa ya bangladesh au cambodia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nime google (curve 3)...ikaleta hizo info
 
Hebu nami nipeni maujanja kuna mtu ana Blackberry Curve 8520 utendaji kazi wake ukoje? samahani lakn.
 
aya wadau basi tuweke mambo sawa........blackberry 8900 iko sokoni....au sio
 
mkuu ni wewe pekee ndo usiojua iyo inaitwa curve 3..........unaona shida gani ku google
Ningekuwa ni mimi peke yangu ndio siijui hiyo simu watu kibao wangeshaweka ma official link hapa kunikosoa.

Weka link hapa ya simu yoyote duniani inayoitwa "CURVE 3"

Ukitaka kuuza kitu angalau basi onyesha unaijua product yako na ni mfanyabiashara muelewa, usiitungie majina ya vichochoroni, unaonekana ni wale wa duka bila daftari. Mimi kama potential mteja, kwa mfano, umeshani turn off, naona kama ni bidhaa feki kutoka China.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom