Habari, nna blackberry 9900 iko kwenye hali nzuri.Bei yake ni laki nne na nusu.
una risiti? kama huna jiandae kutafuta wadhamini wawili wafanyakazi wa serikali, maana hiyo itakuwa ni mali ya wiziHabari, nna blackberry 9900 iko kwenye hali nzuri.Bei yake ni laki nne na nusu.