BlackBerry 8310

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Habari za leo wanajamii wooote. Mimi nauliza kama inawezekana kutumia simu ya Blackberry 8310 kama modem. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Du mkuu nashukuru sana, hii itanisaidi kusave kwa kuwa nalipia BB sevice na Zain.
Sasa nikupaje unielekeze zaidi?

Using as a modem, u will be charged out of the BB data plan and its damm expensive
 
Using as a modem, u will be charged out of the BB data plan and its damm expensive

Mkuu Watu heshima mbele, nakushukuru sana, hilo sikulijua kabisa. I will have to check other more reasonable options. Thanks and have a good day.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom