Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Inakuwaje Huyu George Soros hakuuawa ....?

Hivi mtu kwa Hali ya Kawaida Unawez kuuzorotesha uchumi wa Tanzania kwa Mfano halafu wenye mamlaka Wakakuacha Hivi hivi kweli..... The bold
Hapo tu utaona utofauti wa nchi zetu na za wenzetu

Badala mjue what happened na imekuwaje kawazidi akili watu mnaua...haifuti fact kuwa mmezidiwa maarifa
 
Ushauri wangu kwa wanaotaka kudeal na forex, tafuta dogo mmoja unayemwamini umpe akaunti awe anairun halafu wakati unajifunza taratibu wewe wekeza kwenye crypto currencies
IMG-20211128-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom