BLACK WEDNESDAY: Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,651
2,000
Acha kutumia tigo kufikiri. Wateja hutumia huduma za bureau de change kwa lengo la kubadili fedha ya aina moja kuwa fedha ya aina nyingine ili aweze kuitumia katika mazingira yake, mfano, mtu ana dollar ya kimarekani na anahitaji shillingi ya kiTz ili aweze kuitumia nchini, lakini watu wanaocheza Forex hawaitumii kwa lengo la kubadili fedha ili aitumie katika mazingira yake, bali anaibadili kwa lengo la kucheza kamari, yaani unakuta mtu yupo mbagala kwa mkaanga sumu lakini ananunua Japanese Yen ambayo wala hana kazi nayo katika mazingira yake, akisubiri ipande bei ale au ishuke bei aliwe, kamari tupu!

Lengo la foreign exchange ni kufacilitate exchange of goods and services in global markets.

Kwa hiyo volume of goods/services exchanged ndio inayopaswa kuwa drive ya biashara ya forex.

Ila ukianza kutrade as a speculator.. Naona kama kunakuwa hakuna tofauti na kamari. You are simply betting.

Na forex haifanani chochote na bureau de change. Kila aliye ndani ya forex anaspeculate kupata faida...nani anatumia hama service?!

Ni kama naona nzunguko wake hauta isha..ni upatu wa aina yake. Same community inanunua na kuuziana currencies..kwa lengo la kufanya faida. Ila as long as wana wanapiga hela.. Heri yao.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,881

Good, ila hapo mwisho umeharibu kidogo, hata wauza unga wanapiga hela ujue, the only difference ni kwamba kuuza madawa ni illegal, kamari ni legal.
 
Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,651
2,000
Good, ila hapo mwisho umeharibu kidogo, hata wauza unga wanapiga hela ujue, the only difference ni kwamba kuuza madawa ni illegal, kamari ni legal.
Usiposema wanapiga hela watakushukia hapa.. Na.miquote htr

Anything is illegal or legal wenye mamlaka wakisema kiongozi. Kamari ni mbaya mno. Ndio maana makasino yapo very regulated. Sasa hii ya kubet kila kona.mh

Michezo ya bahati nasibu ilikuwa inaendeshwa na Taifa.. Sasa hili la holela Sijui.

Hiyo yao ni upatu tu. Honestly.
 
G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,577
2,000
Ni kweli mkuu, unabusara sana!

Hata wakulima wanapolima wakisubiri mvua ambayo inaweza kunyesha au isinyeshe pia wanacheza kamari.

Na hawa wanaotengeneza bidhaa mbali mbali ambazo hawana uhakika kama zitanunuliwa au hazitanunuliwa pia wanacheza kamari.

Bila kusahau maombi tunayoomba kanisani na misikitini bila kujua Mungu amepanga nini pia ni kamari.

You are very smart!

Hapana mkuu umeelewa vibaya nadhani nadharia nzima ya kamali, hebu tuchukulie umeenda pale benki ya uwekezaji TIB ukakopa mil.100 kwa riba ya 10% ndani ya miezi sita,ukaja ukajenga nyumba nne zenye thamani ya mil.25 kila moja kwa Muda wa miezi miwili Kisha ukaziuza kwa mil.35 kila moja na kutengeneza kiasi cha pesa halisi mil.140, Kisha ukawalipa TIB pesa yao pamoja na riba yao 10% jumla mil.110 na wewe ukabakiwa na mil.30 mfukoni kama faida yako, kwa mzunguko huu huwezi ita ni kamari eti kwa sababu uliingiza probability ya kuuza au kutouza nyumba zako, hapa umeingiza fedha kwenye faida za kijamii na kuzichuma huko huko huku ukiacha faida ya makazi kwa jamii hiyo hiyo.
Inapokuja swala la kamari ni sawa na kusubiri mchezo Kati ya Simba na Yanga Kisha "unabashiri"(unaweka probability hapa) matokeo yao yatakuwaje kwa kuweka mil.1 ili uje upate mil.15 ikitokea ubashiri wako ukawa sahihi, hii ni kamari kwa sababu umetumia pesa kupata pesa bila kufanya uzalishaji Mali wa anina yeyote ile.
 
laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,014

...ukinunua nyumba na kuuza kwa bei ya juu hapo umecheza kamari mkuu hakuna uzalishaji mali mkuu...uzalishaji mali labda ujenge kiwanda cha kutengeneza juisi hapo ndio kuna kitu kimezalisha....lakini biashara za kununua na kuuza hakuna uzalishaji wowote hapo
 
Hebu tuliza macho uosome nilichoandika vizuri mkuu...wapi nimeandika kununua nyumba na kuuza?
 
TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,874
2,000
Kila kitu kwenye maisha ni kamari
Sote twafanya mema ili twende mbinguni ila hatuna uhakika kama tutaenda au tutabaki kutokana na hayo matendo

Maisha yote ni kamari
hata kwenye vitabu vya dini kamari imewekwa bayana kwamba si nzur na kamari ambayo imeelezewa nazani unaijua.

Ila kutokana na kujitoa ufahamu kwako, unataka kupotosha jamiii.

Mchezo wowote ambao unaingiza pesa bila kuzalisha mali ni haramu

Mfano wa hiyo michezo biko, tatu mzuka,sport betting, forex betting nk....

Yote ni haramu, hii inamaana pana sana na in-- depend kwa kila mmoja na kwa imani yake

Wapo mashekhe wanacheza kamari na wanajua kwamba makari mungu ameikataza.

Na sisi waislam kupitia vitabu vyetu vitukufu tumekatazwa kucheza kamari.

Siwezi kiwasemea wakrisito kutokana sio dini yangu siwez jua katika maandiko yao yame waruhusu wacheze kamari au laaa.

Hitimisho: mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake no way.
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,567
2,000
Tofauti yetu sisi na wale wa Bureau de change ni nini? Hata wale wanafanya FOREX, tofauti yetu sisi na wale ni means inayotumika kuconduct trade zetu. Wao wanafanya manually na sisi tunafanya electronically. Yaani wakati technology inakuwa duniani nyie watu wachache mnataka kuturudisha tuishi maiaha ya miaka ya 1900 huko. Km huujui mzunguko wa hela ulivokaa katika forex usiite kamari.
Achana naye huyo hajui kitu. Kama hajaelewa, usitumie nguvu kubwa kumwelimisha. Atakuja kushtuka baadae wakati tulioanza tuko mbali. Mfano TMT session ya kwanza ya dsm, huwezi linganisha ki mafanikio na TMT ya last session ya Mwanza. Tuko tofauti.

Siku akigundua ukweli, atabadili gia angani na kusema alikuwa anabisha ili hoja zitolewe aelewe.

Mtake aingie darasani huyo, sessions zimeanza.

Tangu saa tisa usiku wa leo, nomepandisha akaunt yangu kwa faida hii hapa, na bado naangalia fursa zaidi.

Eti dola 19 kwa pesa ya kibongo ni shiling ngapi?

be1cf76d4e5125fc2228e71e6700265f.jpg
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,567
2,000
Kamari haina uzalishaji mali/ huduma, biashara zote zina faida na hasara lakini zinazalisha mali/ huduma in the process, kamari haina uzalishaji mali/ huduma! Hivyo biashara ya mahindi unayoitolea mfano si kamari kwa sababu inazalosha mali/ huduma, hata kama atapata hasara!
Kuna jamaa anasema we ni big down. Ni kichwa. Naona ka ukweli, we ni genius, kichwa big down.

Uko vizuri mkuu
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,567
2,000

Lengo la foreign exchange ni kufacilitate exchange of goods and services in global markets.

Kwa hiyo volume of goods/services exchanged ndio inayopaswa kuwa drive ya biashara ya forex.

Ila ukianza kutrade as a speculator.. Naona kama kunakuwa hakuna tofauti na kamari. You are simply betting.

Na forex haifanani chochote na bureau de change. Kila aliye ndani ya forex anaspeculate kupata faida...nani anatumia hama service?!

Ni kama naona nzunguko wake hauta isha..ni upatu wa aina yake. Same community inanunua na kuuziana currencies..kwa lengo la kufanya faida. Ila as long as wana wanapiga hela.. Heri yao.
Sawa ni kamari. Yaishe sasa

Nguvu kubwa ya nini?
13430018c3f3544b53c3329e83ecbeca.jpg

Tangu usiku saa tisa hadi sasa. Mungu akijalia im gonna double my account as Donald Trump used to say in wrestmania
 
-KANA-

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
3,974
2,000
hata kwenye vitabu vya dini kamari imewekwa bayana kwamba si nzur na kamari ambayo imeelezewa nazani unaijua.

Ila kutokana na kujitoa ufahamu kwako, unataka kupotosha jamiii.

Mchezo wowote ambao unaingiza pesa bila kuzalisha mali ni haramu

Mfano wa hiyo michezo biko, tatu mzuka,sport betting, forex betting nk....

Yote ni haramu, hii inamaana pana sana na in-- depend kwa kila mmoja na kwa imani yake

Wapo mashekhe wanacheza kamari na wanajua kwamba makari mungu ameikataza.

Na sisi waislam kupitia vitabu vyetu vitukufu tumekatazwa kucheza kamari.

Siwezi kiwasemea wakrisito kutokana sio dini yangu siwez jua katika maandiko yao yame waruhusu wacheze kamari au laaa.

Hitimisho: mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake no way.
Hii ni biblia, angalia kilichoandikwa, soma vizuri uelewe!

IMG_20180105_131002.png

Unless you have other personal issues!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom