Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Tatizo lenu mkiambiwa manacheza betting hamtaki apo ndipo kwenye tatizo kama mkikubali hatuna tatizo na nyinyi.



Forex is a total betting nani anabisha?
Naomba vitabu vya aina ya nyingine ya" betting " ukiacha hizi global financial market ili nisome,ukweli ni kwamba napenda sana aina hii ya betting ambayo maarifa yake yamehifadhiwa kwenye vitabu.
 
Tatizo lenu mkiambiwa manacheza betting hamtaki apo ndipo kwenye tatizo kama mkikubali hatuna tatizo na nyinyi.



Forex is a total betting nani anabisha?

mimi sibishi. wewe una akili sana ya kugundua kuwa forex trading is a total betting. yaani una maarifa wewe nkhe, yaani acha tu. don't gamble in forex, stay safe. idiot
 
Tofautisha fact na percepection, fact ni objective, perception ni subjective; its a 'fact' kwamba forex ni kamari, na kamari ni 'haram'.
nani huyo anaendelea kukuuliza uliza kama forex sio Kamari? huyo ana uelewa kweli? fact ni moja tu Kamari ni forex na forex trading ni Kamari. unajua watu wengi hawana IQ kubwa kama yako wewe bwana francis da don. una akili sana wewe. nani huyo anakubishia kuwa forex trading sio Kamari. we una akili sana. idiot
 
IMG-20180104-WA0026.jpg


Huku nako walicheza forex?
Ushauri anayefanya forex afanye, anaecheza m-bet, tatu mzuka wafanye.
 
Halafu pia katika Psychology wanasema kwamba ile knowlegde ambayo tayari mtu yupo nayo kichwani inaweza kuwa kikwazo kwa mtu huyo kupata knowlegde nyingine. Na mara nyingi hii huwa inatokana na bad experience ambayo mtu aliipitia kipindi cha nyuma.

So wanaoidis forex either wanaichukulia kama kamari na wanaogopa kuingia sababu wanazijua fika pains ambazo mtu anaweza kuzipata kwa kucheza kamari. Au walishaingia katika forex before lakini wakaishia tu kuonja negative side ya forex ambapo ikawapa bad experience and hence wanafear kurudi tena kutokana na ile bad experience waliyoipata mwanzo(they don't know the positive side of forex).

What I can say is just try to release your mind so that you can perceive what the environment is telling you.
forex ni mfumo wa kamari hakuna tofauti
 
tatizo kubwa kwenye masoko ya hisa fedha na mitaji ni kujua kama tukiao fulani linaweza kutoke au laa na lini,ndio maana mara nyingi watu hutengeneza matukio
 
Haya ni mambo mazito kwako... Akili yako haiwezi kuyabeba... Siyo lazima ufanye.... Hata kama ingekuwa kamari we unaumia nn?
kwani ww kinachokuma ni nini? kukuambia forex upo kwenye mfumo wa kamari au? sasa kama mm akili yangu haiwezi-ww mwenye akili yenye uwezo umeshindwa kutambua kitu kidogo kama hiki kuwa kipo kwenye kama mifumo ya kamali?
kitu chochote ambacho kina probability ya kutokea au kutotokea ni kamari-utofauti ni aina ya kamari
 
Kamari doesn't need any schooling or class... Ingia sasa ujaribu kucheza hiyo kamari ya forex bila kusoma
Nani kasema kamari haihitaji schooling au kusoma?; hiyo ni definition mpya ya mwaka 2018?
Screenshot_2018-01-04-21-23-14.png

Wapi wameandika kamari haihitaji kusoma? Las vegas kuna very complex betting games and machines ambazo bila kusoma huwezi kuzitumia kamwe!
 
kwani ww kinachokuma ni nini? kukuambia forex upo kwenye mfumo wa kamari au? sasa kama mm akili yangu haiwezi-ww mwenye akili yenye uwezo umeshindwa kutambua kitu kidogo kama hiki kuwa kipo kwenye kama mifumo ya kamali?
kitu chochote ambacho kina probability ya kutokea au kutotokea ni kamari-utofauti ni aina ya kamari
Kama kila kitu kinachoinvolve probability duniani ni kamari, basi hakuna biashara ambayo itasalimika. Katika naomba usijitoe akili. Unless kama unaongelea probability and probability yenyewe ukawa huijui....
 
Back
Top Bottom