black is beauty mashalaah nashangaa wadada walioabudu caro light

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
800m00bXgh7.jpg 800e053aHk9.png 800106Mv0tP.jpg 800e053aHk9.png 800b055rXyr.jpg 800b055rXyr.jpg 800e053aHk9.png 800b054zhbb.jpg 800306MBD8T.jpg 800306MBD8T.jpg 800205zF1ty.jpg 8001055G2Oa.jpg 800305zGpc9.jpg 8001055G2Oa.jpg 800105zHaNp.jpg 800606hCCGR.jpg 800105prie2.jpg
 
Mmmh bado mkuu hujafanya kitu, unatangaza black is beauty halafu wote kwenye picha ni light skin, tueelewe vipi?

madame x ukisia wanasema neno black america,usifikiri ni weusi kama lami au mkaaa,obama mwenyewe ni black,neno black ni sawa nakusema african,black/african ni neno moja
 
Sisi ni maua tutapaka tukitacho wake zenu nao wanapaka haki ya kuamua nataka rangi gani
 
nyie mnajua black ni mtu aliyeoga kwenye pipa la lami,ina maana picha hizo nilizoweka siyo za warembo black?,basi ni wachina awo

Hahahaa.Hivi unaweza mwita Wema Sepetu black byuti?? hebu fikiria mwenyewe.Sio kila neno linatafsiriwa kama lilivyo..utapotea wewe..Kuna haja ya kutafuta dikshonare...
 
Hahahaa.Hivi unaweza mwita Wema Sepetu black byuti?? hebu fikiria mwenyewe.Sio kila neno linatafsiriwa kama lilivyo..utapotea wewe..Kuna haja ya kutafuta dikshonare...

kuna picha ya wema nimeweka kuonyesha wasichana wasivyojiamin na ngoz yao wema alikuwa black black beauty sasa hivi kawa kama kitimoto kuna picha yake nimeweka ili uone madhara ya caro light,si kuweka kumaanisha black beauty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom