Fahamu haya kuhusu Black Holes

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,381
1,414
Hi Guys!

Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre. Black Hole sio nyeusi kivilee kama jina linavyotaja.

Black Hole ina emitt radiations zinazoitwa Hawking radiation. Sifa ya Black Hole ni kwamba inavuta kila kitu kinachopita karibu, hata mwanga pia ukikatiza kwenye Black Hole unavutwa.

Black Hole inatabia ya kuvuta nyota au chochote kilicho karibu ya Black Hole. Kitu chochote kinachovutwa na Black Hole kinakuwa part of its mass na Black Hole inazidi kuwa strong.

Black Holes pia zikikaribiana zinauwezo wa kuungana na kuunda Black Hole ambayo ni strong zaidi. Pia kuna Black Holes ndogo ndogo.

Black Hole ina gravitation kubwa sana. The gravitation force of Black Hole ndiyo inayoshikilia galaxy. Pamoja na gravitation force hiyo kubwa ya Black Hole, Black Hole haivuti vitu vilivyoko mbali bali inavuta vitu vinavyopita karibu. Nyota zilizo karibu na Black Hole ambazo hazijafikiwa kuvutwa na Black Hole huwa zina tabia tofauti ukilinganisha na nyota zingine zilizo mbali.

Assume Our Sun ikawa replaced na Black Hole of the same mass as our Sun. Sayari zitaendelea kuizunguka Black Hole hiyo kwa speed na umbali kama kawaida kama zinavyolizunguka Jua sasa.

Kuna Non rotating Black Holes na Rotating Black Holes. Not rotating Black Holes are symmetrical na Rotating Black Holes are Ellipsoid.

Kwa upande wowote utakao jaribu kuiface Black Hole. Shape zake zote zinafanana. Means, they are spherical with extraordinary gravity. Na kiukweli utagundua Black Hole haina sides, kila upande utakaoenda kunafanana. Na sio shimo kama jina linavyoita Hole.

View attachment:



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom