Bizarre and wierdest tribes in the world and their popular culture

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,117
33,401
Hebu na tugeukie tamaduni desturi na mila za makabila mbalimbali hapa duniani kwa njia ya picha.

tuwemo.
Hawa ni mabikra wa kizulu. Hawaoni shida wala taabu kuachia vifua wazi ilimradi sherehe iende kama ilivyo pangwa
IMG_20191203_205452_150.JPG

Hawa hapa kazi yao na iliyokuwa ikiwapa heshima ilikua kubumba vichwa nadhani utaelewa kwanini wabara tunaitwa chogo.
'lipombo' the act of skull elongation.
tumblr_mt8bpgwlmb1qb6jujo2_400.jpg

93fb8a26d9534025ee95eaff63f6de88.jpg

Hawa hapa chini ni kutoka Thailand. Wenyewe kujitoboa lips za midomo kwemye baadhi ya sherehe na kuabudu huko ni jambo la kawaida kabisa.
0_THAILAND-RELIGION-FESTIVAL.jpg

Hawa ni mursi kutoka ethiopia nadhani super black and attractive. Lakini majasiri pia cheki mtoto kakuwekea mashine kifuani
images (8).jpeg

inaendelea...
 
Hawa na kanibal from America. Kwa jinsi walivyo ji nakshi hata simba akikutana nao sio tu atakimbia bali atalazimika kuficha mkia katikati ya miguu.
images (3).jpeg

Wafuatao ni Apatan wa noert eastern India wao fahari yao kutoboa pua kwa namna ya ajabu.
images (4).jpeg

Na hawa hapa chini ni kutoka Zimbabwe sijui kama ni kazi ya Mungu au ni swala la ulemavu. Tizama mwenyewe
images (5).jpeg
 
Wanaitwa aboriginals wao kuweka miraba ktk nyuso zao ni jambo la fahari nadhani huwekwa hivyo wakingali wadogo hivyo panakuwa kama kovu au tattoo isiyo na wino.
images (6).jpeg

Hawa hapa wanataka kuwa kama wazulu au wale wa kwa mswati kwa wao sexual desire sijui waliifungia ktk jela gani maana ingekua kibongobongo nadhani kesi za ubakaji zingekuwa nyingi sana.
images (2).jpeg

Kama tu avatar za humu zinawatoa udenda !!!
 
Namaliza kwa kuwaita wafuatao

Huyu ni Ushimen
images (1).jpeg

Na mwenzake john stephano akishangilia ile paper work aliyosema atatutangazia endapo ikienda kama alivyopanga. Picha hapa ni wakati box limekolea kipindi anafikafika nchi za watu
ulxnh0g4tzm11.jpg

Kwa sasa inaishia hapo.
 
Back
Top Bottom