ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Akitaka kuheshimiwa aache kusigina katiba. Awe mfano mwema awe Raisi sio mwongea hovyo lugha za kuchefua wengine. Kama kuna hoja za kujibu afanye hivyo kwa staha. Akitukana mnaopenda kushangalia muache. Mkumbusheni kuwa akianzisha mipasho itamrudia, smg hazitoweza kunyamazisha. Badiliko lianzie kwake Mfalme. Amen.Kaongea ukweli mtupu huwezi ukaisaliti nchi yako kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa.
Makosa ya serikali ya awamu ya tano wewe kama mwanasiasa mzuri unaweza ukatumia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2020.
Kwa sasa mwacheni Rais Magufuli atekelezee sera zake.