Bittersweet situation baada ya kuachana

Hapo kwenye truth ndo panapoumiza,2 years no better person,so should I wait more,or it is time to settle for less
No one is perfect, if you can accept their weaknesses and live with them comfortably, then settle for less.

Who knows..! less might be more someday. People change for the better just as they would for the worse.

Mwenye maamuzi ni wewe, unajijua na unajua vitu gani unavimudu na usivyoweza kuvumilia.
 
Thank you
 
Usimwombee ivo mkuu
ningekua mwandishi mzuri ningeandika thread vijana wenzangu wajifunze kupitia yaliyonikuta. nilifikia nae hatua ya kufunga ndoa,wakati naandaa mahari binti alianza kubadilika akaanza kuweka demands kubwa zaidi ya kipato changu,alianza kuforce nipange chumba na seble na anaelewa kipato changu kidogo,tulibishana sana kuhusu hilo suala hatimaye akaniambia nifanye maamuzi niyatakayo ila yeye hayupo tayari kuishi chumba kimoja,nikaamua tu kusitisha ndoa
 
Duh pole sana mkuu
 
Kama nampenda simuachi ng'o
Mkuu usiseme'ivoo, kunakutoswa hata kama unampenda.

Na huwa daima 'balonce' ya penzi haipo hapa duniani.

Ukipenda sanaaa, jua kwenye mizani ya upendo kwa huyo unayempenda ipo chini na ndiyo mateso yanapoanzia.

Na ukiona mtu anaingia anga zako haumpendi, jua huyo 'kafa kaoza' juu yako.

Formula hii ipo kimfumo na huwa siielewi kwakweli.

Tuseme tu kwamba kwenye mambo haya shetwani naye huwa kajibanza pembeni akivizia kuharibu!
 
Nimecheka balaaa
Maisha hayana penye afadhali
 
Raha nazopewa kwa sasa huko nilikotoka nilikuwa jehanamu, hizo bittersweet zitokee wapi,, Asante Mungu kunitolea roho ya ung'ang'anizi, hata wazo tu naonaga najidhalilisha
Nyuma ya maandishi yako kwa sisi tuliosoma psychology tunaona kabisaa kuna ka maumivu fulani hivi bado unacho sema unajizuia kukubali🤣🤣.....yaani bado una kachembe ka kukumbuka good memories🤣🤣🤣....ni Mimi mwana psychology.
 
Jamanii 2 years has passed,sija move on kabisaa,mwenzangu kashapata na mtoto,Mimi nakwama wapi?
Jomooni sio vizuri aisee,njoo basi nikusaidie ku move mamii eeeh...nitakusogeza hata ka hatua kamoja😁😁😁😁....zee la kufaulisha hapa.
 
Back
Top Bottom