BITTER TRUTH; WADADA WA JF WENGI SURA ZA JESHI, fungua uone.

Wauza sura wengi wanaoremba na ku edit picha kwa photoshop ili waonekane warembo wanapenda fb, hawa wa jf sura ngumu kama jiwe la kusugulia masagamba ,usibabaike na hizo avatar..thank God its fridaaayyyy

Ila kUsemA kwEli mm naWapenDa sana mademu wenYe suRa mbAya maRa nyinGi waNakuA waTamU sanA kwsbb hAwacHezEwi ovYooVyo ilA hawA wEngiNe wEngi wAo waNakuaGa pwa pwa pwa pwa sana jaPo sio wotE.
 
Haya bana na watongozaji wapo fb
maana kwa research yangu kila mwanaumea akiomba friend request kinachofuata salamu then anaomba contacts loo nimepachokaje
ila humu ha ha utabwabwaja miaka hapa pm hupati na ukiipata ni ya mambo muhimu tu
thats why i ilike jf
 
Vipi mkuu mchemsho, wamegoma kukujibu kwa PM nini? sidhani kama unasema haya bila sababu hata kama ni jukwaa la jokes/gossip
 
Vijana mna hamu ya kusengenywa eeh? Alowambia ma beibe hawapo jf nan? Njoo hku uone, utasaliti ndoa! Teheteheteheteheeeeeiya!
 
Vijana mna hamu ya kusengenywa eeh? Alowambia ma beibe hawapo jf nan? Njoo hku uone, utasaliti ndoa! Teheteheteheteheeeeeiya!
 
Hahahaha. Maneno ya mkosaji. If you have to convince pple that you are pretty, then you are not. Beuty is same as jinsi. If you have to convince pple that you are male, just know you are not!
 
Na uhakika Baba V ukinitazama wewe na uzee wangu huu huchomoki
Nakupa dk 3 unitizame machoni tu, tena nikiwa nimevaa dera na hakika kinyonga anatembea kwenye suruali.

Brag! Brag! Brag! chezeiya kongosho wewe

ndo maana nilimshauri Ipycalypse aache kutumia picha ya Kongosho kama ndo avatar yake lakini naona hanielewi,kang'ang'aniaaa mwenyewe..,
 
Back
Top Bottom