Bit torrent software!

3MMANUEL

Member
Nov 7, 2012
14
1
Habari zenu wana Jf wote!ni imani yangu wote ni wazima but kama kuna wagonjwa basi poleni na ni imani yangu mta-recover soon!
NAOMBENI PIA MSAADA WENU KUHUSIANA NA torrent sielewi ninini na inahusiana na mambo gani sometimes nakutana nayo kwenye ku-download vitu nielimisheni jamani!
 
Mkuu, kwanza jifunze the how to's za JF. Ili next time usitupotoshe kwa kuiweka hii kama News Alert wakati sivyo. Next, kuna search box ipo, na unaweza kuweka keywords tofauti tofauti ili kuona kama utapata unachohitaji. Tatu, usiwe mvivu. Nne, yangu ni hayo, subiri waelimishaji waje.
 
kwa ninavyoelewa coz naitumia ni software/downloader manager ambayo inakuwezesha kudownload movies/songs etc for free.me hapa kwenye laptop yangu nina zaidi ya 100 movies nimedownload kwa kutumia bit torrent.so kama wewe ni mpenzi wa vitu ka hizo download/install then ufurahie.uzuri wake ni kuwa unaweza kuwa unadownload file halijamalizika na may be unataka kutoka unaweza kuzima computer yako ukija kuwasha na kukonekti tena na internet inaendelea kudownload kuanzia ilipoishia.pia unaweza kudownload file zaidi ya moja kwa wakti mmoja,ni speed ya internet yako tu.
 
Back
Top Bottom